pwagu anawapotosha mapwaguzi kindezi kabisa, dah 🤣Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano.
Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi.
Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato.
Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je baada ya mwaka itakuwaje?
Ata Abdual amesema hivyopwagu anawapotosha mapwaguzi kindezi kabisa, dah 🤣
Chawa lililopuuzwa huku nccr wakilamba teuzi.Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu