Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #61
Mkuu kama chance ya kuambukizwa ni chache don't talk about kupima naomba tuishie hapoKupima ulienda?
Sina hakika ila wanasima kama anatumia dawa kwa asilimia zote chance ya kumuambukiza mwingine hupungua sana.
Kapime tu mkuu.. ikitokea umepata ni kukubalina na hali hakuna jinsi. Mbona yy anaishi...
Hatuwezi kuishia hapo wakati hutaki kwenda kupima "afiya"!Kapime wewe ndugu ujue hali yako.Mkuu kama chance ya kuambukizwa ni chache don't talk about kupima naomba tuishie hapo
Bila kupima utaishi kwa mashaka sana. Yaani hata ukiumwa homa tu utaqnza kuhisi ehee tayari.Mkuu kama chance ya kuambukizwa ni chache don't talk about kupima naomba tuishie hapo
I mean physical am fit but mentally kuna shida ndgu yangu..Kama viral load yake ni undetectable, basi utakuwa umeponea.
Mkuu ishu ya kupima naogopa mimi...Bila kupima utaishi kwa mashaka sana. Yaani hata ukiumwa homa tu utaqnza kuhisi ehee tayari.
Hapana ni ngumu how ?Hatuwezi kuishia hapo wakati hutaki kwenda kupima "afiya"!Kapime wewe ndugu ujue hali yako.
yaani viral load ni kiasi cha virusi kwenye damuI mean physical am fit but mentally kuna shida ndgu yangu..
"Blood" hapo imetumika like mwanangu sana..
Sija maanisha kama nina strong blood.. yaani mambo ya damu ata sijawahi chunguza aisee nachojua kuhusu damu yangu ni group A+ tuu
Au group hili ndo viral load yake ipoje mkuu ?
Hapana ni ngumu how ?Hatuwezi kuishia hapo wakati hutaki kwenda kupima "afiya"!Kapime wewe ndugu ujue hali yako.
Asante sana mkuu nimekuelewa hapo daaahyaani viral load ni kiasi cha virusi kwenye damu
kama muathirika akitumia ARVs vizuri basi kile kiasi kinapungua na uwezo wa kumuambukiza mtu unakuwa mdogo
hii ni kwa uelewa wangu DR Mambo Jambo anajua kiundani
Tatizo linaanzia hapa, sasa usipopima utajuaje hali yako?Ila nina imani awezi ambukiza mtu huyu...
Mkuu unapata picha gani mtu anaekuwa wa kwanza kukuambia ishu ya kupima afya ..?Vijana mmekuwa watu wa ajabu sana,hamthamini maisha yenu hata kidogo,how comes mtu anataka kujua Hali Yako ya afya ila ya kwake hataki ujue na wewe unaingia kichwa kichwa,alitaka upime ili asipate maambukizi mapya .
Jaribuni kujari afya zenu,umenikumbusha mbali kipindi nimemaliza masomo ya ualimu nikapa shule ya kujitolea Kwa Muda nikusubiri Ajira,shule Ile ilikuwa na mpishi na ikimbukwe nilikuwa nimejitunza sana wakati wa masomo hivyo nilipomuona nikavutiwa nikatupa ndoano maana ugwadu ulikuwa unanisonga.
Demu alikubali ila Kwa usumbufu sana kikubwa nikaanza kumla ila Kwa kondomu,nikawa namwambia tukapime anagoma,Mimi hamu za kumla bila kondomu zikawa zinaniijia Kila mara,Kuna siku nikaenda Kwa jamaa yangu daktari akaniuzia vipimo na kunielekeza namna ya kutumia,usiku nikaibuka Kwa demu nikapige mishe,kabla ya tukio nikampima,duhh uume haukusimama tena baada ya majibu kutoka,sikula wiki mzima japo nilikuwa natumia kondomu,nilikoma kabisa ,ili kupata amani nilienda kupima nakukutikana Niko salama.
Kisa kingine baada ya kupata Ajira nikiwa huku Lindi nilipata Binti mzuri sana wa kingindo,nikawa namla Kwa kondomu ,nikikwambia kupima anagoma,siku moja akasema kama unataka tupime twende mjini tukapime ila sio hapa kijijini,bwana wewe nikambana tukaenda mjini,nilichokiona sikusadiki,jamani kondomu ni mhimu sana na ninaziheshimu sana, Mimi zimeniokoa mara nyingi sana.
Hadi Sasa siwezi lala na demu bila ya kutumia kondomu au kipima ukimwi,kwangu ni mwiko!!
Ndugu najutaTatizo linaanzia hapa, sasa usipopima utajuaje hali yako?
Mkuu now nipo stressed sana...
Mkuu nipo kipindi cha majuto..
Nawaza kwenda kupima ila naona kupima nitajimaliza kabisa.
Nimekua nae huu ni mwezi wa pili sasa nakula tuu sijali wala nini..
Leo naona ishu kama hiyo alafu useme naweza nisipate
Viatu humbana aliyevivaa.Mimi nitavivaa kwa mawazo tu.Hapana ni ngumu how ?
Naanzaje wakati imepita miezi nipo poa.
Ishu ni kugundua kuwa ana vidonge ndo ifanye mimi nikapime...
Mkuu vaa viatu vyangu kwa hali kama hiyo utaenda kupima..?
Daaah napata amani sana mi itakua sina banaPole. Kama ni mfuasi mzuri wa dawa na virusi vimefubaa kiwango cha kukuambukiza ni kidogo(a.k.a Discondant couple). Ushahidi: Kuna nesi mmoja alikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja mpaka kufikia hatua ya kufunga ndoa. Taratibu zikafanyika lakini ilipofikia zoezi la kupima afya nesi alikuwa anatoa sababu za hapa na pale mpaka ilipofahamika kumbe alikuwa kwenye dawa kwa zaidi ya miaka 3. Ila yule kijana baada ya kupima alikutwa hana maambukizi.Undetectable=Untransimittable(U=U)
Siwezi kumwamini Mimi kamwe,si unaona umejiangamiza!?Mkuu unapata picha gani mtu anaekuwa wa kwanza kukuambia ishu ya kupima afya ..?
Uoni yeye kuwa yupo smart sana..
Mi nikaamini moja kwa moja yupo oky ataki maambukizi..
Na anajali afya.. kiufupi mkuu even you ungekua katika hii situation yangu sizani kama ungeuliza kuhusu afya yake