Vijana mmekuwa watu wa ajabu sana,hamthamini maisha yenu hata kidogo,how comes mtu anataka kujua Hali Yako ya afya ila ya kwake hataki ujue na wewe unaingia kichwa kichwa,alitaka upime ili asipate maambukizi mapya .
Jaribuni kujari afya zenu,umenikumbusha mbali kipindi nimemaliza masomo ya ualimu nikapa shule ya kujitolea Kwa Muda nikusubiri Ajira,shule Ile ilikuwa na mpishi na ikimbukwe nilikuwa nimejitunza sana wakati wa masomo hivyo nilipomuona nikavutiwa nikatupa ndoano maana ugwadu ulikuwa unanisonga.
Demu alikubali ila Kwa usumbufu sana kikubwa nikaanza kumla ila Kwa kondomu,nikawa namwambia tukapime anagoma,Mimi hamu za kumla bila kondomu zikawa zinaniijia Kila mara,Kuna siku nikaenda Kwa jamaa yangu daktari akaniuzia vipimo na kunielekeza namna ya kutumia,usiku nikaibuka Kwa demu nikapige mishe,kabla ya tukio nikampima,duhh uume haukusimama tena baada ya majibu kutoka,sikula wiki mzima japo nilikuwa natumia kondomu,nilikoma kabisa ,ili kupata amani nilienda kupima nakukutikana Niko salama.
Kisa kingine baada ya kupata Ajira nikiwa huku Lindi nilipata Binti mzuri sana wa kingindo,nikawa namla Kwa kondomu ,nikikwambia kupima anagoma,siku moja akasema kama unataka tupime twende mjini tukapime ila sio hapa kijijini,bwana wewe nikambana tukaenda mjini,nilichokiona sikusadiki,jamani kondomu ni mhimu sana na ninaziheshimu sana, Mimi zimeniokoa mara nyingi sana.
Hadi Sasa siwezi lala na demu bila ya kutumia kondomu au kipima ukimwi,kwangu ni mwiko!!