Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kama anatumia dawa kwa usahihi, possibility ya kuambukizwa ni ndogo sana. RelaxDaaah thank mkuu...
Kuhusu kupima hapa siwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anatumia dawa kwa usahihi, possibility ya kuambukizwa ni ndogo sana. RelaxDaaah thank mkuu...
Kuhusu kupima hapa siwezi
Sawa sawa mkuu...Kama anatumia dawa kwa usahihi, possibility ya kuambukizwa ni ndogo sana. Relax
Kupima kawaida tu ....pima ujue afya tu ila kupata ukimwi kwa mtu anatumia dawa vizur ni ngumu....Asante mkuu kwa ushauri wako...
Japo kupima kwangu imekua changamoto.
Unajua kupima inaweza ikawa inaogopesha zaidi kwangu kuliko huo ugonjwa wenyewe ..
Asilimia za wewe kuathirika ikiwa anatumia dawa kwa umakini na ufuatiliaji mzuri ni ndogo mno ,narudia ndogo mno ila Sasa fanya jambo moja ,Pima alafu Pima tena baada ya miezi mitatu hapa Kati usikutane naye ukiwa salama ,usimuache unaweza kuishi na muathirika vizuri tu ila ukijikita tayari usipaniki bado unayo nafasi ya maisha .Habari za muda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Akuangamizaje kimya kimya bwana, kwani unafikiri yeye alizalowa nao? La msingi we nenda kapime ili kama uko ok uchukue tahadhari zaidi na kama sio poa basi uanze dozi pia. La msingi hakuna atakayeishi milele hapa duniani so acha uoga ukidhani HIV ndio kitu pekee kinachoua duniani. Uzuri siku hizi ngoma haina tena yale sijui majipu/vipele au kukonda mifupa so utaishi poa kabisa tena ukifata masharti vizuri utatoboa hata 70+ huko then you die naturallySio alinidanganya vile sio vidonge vya vidonda vya tumbo mkuu....
Why alifanya hivi mtu nakaa nae mda wote kumbe nia yake ani angamize kimya kimya
Duuuh unajua kupima bana weee acha tuu...Kupima kawaida tu ....pima ujue afya tu ila kupata ukimwi kwa mtu anatumia dawa vizur ni ngumu....
Pima ujue afya kama utakuwa hauna utakaa kikao na mpenzi wako ili kuanza kujua ratiba zake za dawa na kumtia moyo
Kama ukikutwa nao na we unaanza dawa ila afya yako iwe sawa maana kuchelewa kuanza dawa ni hatari kwa afya yako
Good news ni kwamba hata ukiwa nao ukimwi uko mwishoni sana tiba yake baada ya miaka kumi hivi itakuwa iko mitaani
Asante sana mkuuAsilimia za wewe kuathirika ikiwa anatumia dawa kwa umakini na ufuatiliaji mzuri ni ndogo mno ,narudia ndogo mno ila Sasa fanya jambo moja ,Pima alafu Pima tena baada ya miezi mitatu hapa Kati usikutane naye ukiwa salama ,usimuache unaweza kuishi na muathirika vizuri tu ila ukijikita tayari usipaniki bado unayo nafasi ya maisha .
Nitakuwepo hapa kukushauri kwa chochote na kuwa msaada kwa lolote .
Pole sana jiamini
Ushauri mzuri Ila jina lako halionyeshi matumani MENEMENE TEKELI PELESIAsilimia za wewe kuathirika ikiwa anatumia dawa kwa umakini na ufuatiliaji mzuri ni ndogo mno ,narudia ndogo mno ila Sasa fanya jambo moja ,Pima alafu Pima tena baada ya miezi mitatu hapa Kati usikutane naye ukiwa salama ,usimuache unaweza kuishi na muathirika vizuri tu ila ukijikita tayari usipaniki bado unayo nafasi ya maisha .
Nitakuwepo hapa kukushauri kwa chochote na kuwa msaada kwa lolote .
Pole sana jiamini
kasaliti NoFapper huyo, muache apate somoPole kapime kwanza, dronedrakeeeeeeeeee🔊📢📢📢📢🔊🔊🔊 dronedrake njoo utoe ushauri
We jamaa omba usikutane nayokasaliti NoFapper huyo, muache apate somo
Nofap ni dawa mkuu nenda youtube.com ujione akina Elon Musk, walivyo akili.kasaliti NoFapper huyo, muache apate somo
Jumapili siku ya wakiristo alafu Kuna mtu anataka Vita ili niharibu siku ya wakristo .Ushauri mzuri Ila jina lako halionyeshi matumani MENEMENE TEKELI PELESI
NoFapper wa mchongo wewe, unamendea vipochi kibao humu na chamaziNofap ni dawa mkuu nenda youtube.com ujione akina Elon Musk, walivyo akili.
Kimsingi ukimwaga mbegu zako uwezo wakufikiri unapungua na nguvu za mwili pia, halafu pia hata nguvu za asili yaani kiroho zinaisha
Ndugu pole sana ,kichwa Cha habari iwe namba yako ili niweze kukupigia labda maana siwezi fungua huko panagoma naona tu kichwa Cha meseji basiAsante sana mkuu
Nenda you tube utanishukurusiwezikutana nayo maana ni team nyeto
proton pump
sitaki NoFapper, Nyeto Milele Daimaut
Nenda you tube utanishukuru
Hapo chuo AMAZON Zakhiem kuna watoto balaa ila mimi nilishamuaNoFapper wa mchongo wewe, unamendea vipochi kibao humu na chamazi