CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TABORA CAMPUSWiki ya Huduma kwa wateja huadhimishwa Duniani kila mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Oktoba kwa taasisi za serikali na kampuni binafsi kusherehekea, kutathmini na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na wateja.
Ikiwa ni ukingoni mwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, ni taasisi gani inaongoza kuwa na Huduma nzuri kwa Wateja mpaka unatamani nyingine zijifunze kutoka kwao?
imewaambukiza hadi sekta binafsi...!Tanzania nzima huduma serikalini ni sifuri sifuri.