NSSF wako vuzur sanaWiki ya Huduma kwa wateja huadhimishwa Duniani kila mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Oktoba kwa taasisi za serikali na kampuni binafsi kusherehekea, kutathmini na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na wateja.
Ikiwa ni ukingoni mwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, ni taasisi gani inaongoza kuwa na Huduma nzuri kwa Wateja mpaka unatamani nyingine zijifunze kutoka kwao?
Sio kweliTaasisi na Mashirika yote ya serikali yanatoa huduma kwa viwango vya kimataifa. Hakuna mfano.
Wiki ya Huduma kwa wateja huadhimishwa Duniani kila mwaka katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Oktoba kwa taasisi za serikali na kampuni binafsi kusherehekea, kutathmini na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na wateja.
Ikiwa ni ukingoni mwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, ni taasisi gani inaongoza kuwa na Huduma nzuri kwa Wateja mpaka unatamani nyingine zijifunze kutoka kwao?
Wewe wasema.Sio kweli
Habari ndugu mteja,TANESCO NAMBA 1
Habari ndugu mteja,Tanesco wanajitahidi
Habari ndugu mteja,Mfumo wa Tanesco. Kitengo cha huduma kwa wateja kipo vizuri. Hii ni kwasababu wameweza kushusha huduma zao mpaka ngazi ya chini kabisa kupitia whatsap group.
Wanajitahidi mashirika mengine wakajifunze
Nipo kwenye group moja huwa naangalia sometimes watu wanauliza vitu ambavyo usingetarajia watauliza lakini bado wanajibiwa .
Ndugu Mtu wa Mara,TANESCO Hongera nyingi kwao
Ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi.Serikalini;
Tanesco emergency service wame-improve sana kulinganisha na miaka ya nyuma.
EWURA online service wapo vizuri sana.
NSSF unapojisajili (inawezekana kwa sababu wanataka fedha yako)
PDPC wapo vizuri kwenye response wakati wanataka pesa yako ya usajili, ili ukishalipa kupata certficate ni majaaliwa.
Changamoto kubwa ya Taasisi za Serikali ni;
1. Namna wanavyoweza kutumia teknolojia kurahisisha mambo. Hakuna haja ya Mtu kuambatana na documents kwenda ofisi ya Serikali kama jambo linawezakufanyika online.
2. Hazijibu emails kabisa
3. Hawawezi kukupa deadline ya jambo lako kwa uhakika zaidi. Kuna taasisi ukifanya application ya jambo fulani na ukauliza maendeleo jibu lao rahisi tu 'tunafanyia kazi' au 'wiki hii tu utapata mrejesho' au 'lazima tupitie kwanza kwa hiyo sitakupa uhakika wewe kuwa mvumilivu' au 'majibu utapata online'. Mtu anayekupa muda maalum wa kukamilika jambo lako inamaanisha wamejipanga na wana mfumo maalum wa kupima kazi walizonazo, uwezo wa kufanya kazi na perfomance ya Wafanyakazi.
Taasis binafsi nitarudi
Tunashukuru kwa Pongezi ndugu mteja.ASA, TARI, TALIRI, TFRA, EWURA, TANESCO, TTCL
Ndugu mteja,TANESCO nawapa maua yao!! Customer service ni A+!
Ndugu mteja,Taasisi na Mashirika yote ya serikali yanatoa huduma kwa viwango vya kimataifa. Hakuna mfano.