Wiki ya pili niko jijini Mbeya sijaona msichana mrembo

Nasikia Aunt Ezekiel(gwantwa) asili yake Tukuyu!
 
Kuache Tukuyu kwetu aka Tokyo.
Itakuwa hata wewe mbaya ndio maana unaona wabaya wenzio...
 
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.

Hakuna Wilaya inaitwa Tukuyu:
Sasa si ungeenda nao wale unaowataka?
Wazuri wa huko utawakuta kanisani sio vichochoroni.
 
Kuache Tukuyu kwetu aka Tokyo.
Itakuwa hata wewe mbaya ndio maana unaona wabaya wenzio...

Ha haa haaa tokyo nimeipenda hiyo!
Halafu jina lako liko sawa: papo gwoghile fijo
 
Kma ulikuwepo mwana aende bukoba ndo kuna biashara hizo za kishombeshombe
mbeya kazi tu ya kilimo yeye anafikiri wanawake wa mbeya nis shombe ataula wa chuya kule mni kazi tu kwa kwenda mbele
 
Kma ulikuwepo mwana aende bukoba ndo kuna biashara hizo za kishombeshombe
mbeya kazi tu ya kilimo yeye anafikiri wanawake wa mbeya nis shombe ataula wa chuya kule mni kazi tu kwa kwenda mbele

Na ndio maana Mkoa unalisha karibu nusu ya nchi nzima, muda wa kuvaa vipedo watu hawana huko, Sema majamaa hawajui tu
 
Kweli best wanafikiri wakienda kule watatalii hadi wanawake wa kule kumbe kule ni kazi tu
yeye akitaka atuambie mikoa inayoongoza kwa kazi hiyo special yake kuliko kudhani kuwa akienda mbeya tapata mtoto kule anajidanganya bora angembeba wake akaenda naye kule

kwani wanawake wa kule wanamshangaa sijui ajioni
na ndio maana mkoa unalisha karibu nusu ya nchi nzima, muda wa kuvaa vipedo watu hawana huko, sema majamaa hawajui tu
 
Usiumize kichwa, nimegundua yeye ndie mrembo
 
Umeenda kufanyakazi (kikazi) au kutafuta wanawake watu wengine hamna staha kidogo tu tayari ushatafuta mwanamke shindwa na ulegee katika jina la Yesu

Alegee kabisaa, asivokuwa na malezi/maadili anajitangazia ushindi hapa. Kwani wanaotaka kuoa Mbeya wanapataje? Aende Mkapa hall akaone ratiba za harusi, then ahudurie moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…