HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
pole mleta uzi! mwambie wako akufuate akupe raha! kuna wanawake hawajazoea papara kama ulivozoea! wenye nao wanaujua uzur wao....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lundenga akija huku imekula kwake ataondoka kapa
Nimekuja kikazi mkoani Mbeya wilaya ya Tukuyu aisee tembea uone wanawake wa huku kama wanaume na mie ninavyopenda shombeshombe sijaona mwanamke mweupe au mwenye kiuno cha nyigu tatizo nini.
Kuache Tukuyu kwetu aka Tokyo.
Itakuwa hata wewe mbaya ndio maana unaona wabaya wenzio...
Ha haa haaa tokyo nimeipenda hiyo!
Halafu jina lako liko sawa: papo gwoghile fijo
Ndaga.ngoga fijo.
Unoghile lelo..
Kamba seghela dispensary wamepata umeme....
mdukuzi mjomba ulienda kwenye kazi au kwenye umalaya? Nenda kikazi bukoba utafanya hiyo kazi yako vizuri, mabinti wa huko wanajiheshimu hawana swaga za kuji-display kama ulivyokuwa unawaza kiuno shooo tu, mwanamke yoyote akitaka kukidisplay utakiona, lakini kikisitiriwa hata kadashan utamuona mtu wa mbeya
Kma ulikuwepo mwana aende bukoba ndo kuna biashara hizo za kishombeshombe
mbeya kazi tu ya kilimo yeye anafikiri wanawake wa mbeya nis shombe ataula wa chuya kule mni kazi tu kwa kwenda mbele
na ndio maana mkoa unalisha karibu nusu ya nchi nzima, muda wa kuvaa vipedo watu hawana huko, sema majamaa hawajui tu
Usiumize kichwa, nimegundua yeye ndie mremboKweli best wanafikiri wakienda kule watatalii hadi wanawake wa kule kumbe kule ni kazi tu
yeye akitaka atuambie mikoa inayoongoza kwa kazi hiyo special yake kuliko kudhani kuwa akienda mbeya tapata mtoto kule anajidanganya bora angembeba wake akaenda naye kule
kwani wanawake wa kule wanamshangaa sijui ajioni
Umeenda kufanyakazi (kikazi) au kutafuta wanawake watu wengine hamna staha kidogo tu tayari ushatafuta mwanamke shindwa na ulegee katika jina la Yesu