Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
12,207
Reaction score
26,521
Moja kwa moja..

Nilizoea bando likikata kuingia Freebasic kupitia line yangu ya Halotel kucheki habari BBC na kuperuzi Jf lakini halo umebadilika sasa sio kwa kutumia app wala browser inagoma shida ni nini wakuu hii huduma bado ipo kweli ?

#UziTayari
 
Freebasic kwa mujibu wa Halotel wenyewe wamesema kwa sasa wameizima huduma hiyo.
 
Freebasic kwa mujibu wa Halotel wenyewe wamesema kwa sasa wameizima huduma hiyo.
Duh! kwa nini iwe hivi tafadhali Rais wetu MamaSamia litazame na hili hali ni ngumu mno.
 
Habari za wakati huu Wakuu..
Naomba kufahamu kuhusu hii website ya freebasics.. siku hizi inapatikana hewani na kama ipo JamiiForum inapatikana..?
 
Back
Top Bottom