Wiki yatatu sasa napiga chafya kila mara na kwa mfululizo, kuna tatizo?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Ikitokea nimeigusa pua tu basi zinaanza kumiminika chafya nyiiingi hadi kero,

Nikipisha na mtu aliyejipulizia unyunyu tu, chafya zinanitoka si za nchi hii,

Shemeji yenu akiwa anakarangiza na ile harufu kunifikia, chafyaaaa.

Wakati mwingjne nikikaa tu, chafyaaa.

Nikiingia chumbani, chafya tu.

Mbaya zaidi, leo wakati najiandaa kupata cha asubuhi, ikaja chafya na mafua kabisa yakatoka hali iliyopelekea kuharibu morali ya upatikanaji wa cha asubuhi changu....nimesikitika sana.

Zamani sikuwa na hali hii kabisa, shida ni nini wadau?!!!! Kawaida hii?!!!!
 
Ulishawahi kwenda kwa waganga wa kienyeji? Waulizie wachawi na waganga wanajua hiyo siri ya kupiga chafya mfululizo kila mara kwa mda mrefu! Nilivyokuwa enzi za ujinga niliwahi kwenda kwa mganga! Akianza kupangisha mashetani ataanza kupiga chafya sio poa! Haya machafya ukiyatazama vizuri yanatokeza "out of no where"! Wanga watu wabaya sana!
 
Upewe Tuzo ya mpigaji bora wa Chafyaa!

UNASTAHILI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom