Wiki yenye utata: Tulianza na Dr Kigwangalla akaja Kangi Lugolla akafuatia Zitto halafu RC Makonda na sasa ni Mtume na nabii Mwamposya aliyekamatiwa !

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada.

Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi wanafunzi halafu huku siasani akamalizia RC Makonda kwa " kumtikisa" Rais wa Dunia Donald Trump.

Wanasiasa hawa hawakutuhuzunisha sana kwa sababu hiyo nayo ni siasa iwe safi au chafu inabakia kuwa siasa. Hili la vifo kwenye mkusanyiko wa kiimani kwenye ibada ya dini ya Nabii na mtume Mwamposya ndio limewahuzunisha wengi.

Mbaya zaidi mtume Mwamposya amekamatiwa uwanja wa ndege akitaka kusepa

Nawatakia Dominika yenye baraka!
 
Hii yote nikutokana na ugumu wa maisha,nchi zisizo na njaa kali upuuzi huu huukuti!! wachaga itakuwa waliambiwa wakikanyaga mafuta watavimbiwa mahela wakaona kiiruuu ndechochakufa Mayer yaani bora nyife!!??
Serikali iache kupitisha wananchi kwenye umaskini huu mbaya hatakama ni kujenga tuwe na mpango mahsusi tusije kufa kisa chato
 
Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada.

Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi wanafunzi halafu huku siasani akamalizia RC Makonda kwa " kumtikisa" Rais wa Dunia Donald Trump.

Wanasiasa hawa hawakutuhuzunisha sana kwa sababu hiyo nayo ni siasa iwe safi au chafu inabakia kuwa siasa. Hili la vifo kwenye mkusanyiko wa kiimani kwenye ibada ya dini ya Nabii na mtume Mwamposya ndio limewahuzunisha wengi.

Mbaya zaidi mtume Mwamposya amekamatiwa uwanja wa ndege akitaka kusepa

Nawatakia Dominika yenye baraka!
Aisee, Kuna mtu kakosea masharti ya mganga
 
Unatorokea airport? Kodi chopa usepe kama ishu ni kupanda ndege

Kama mkweli ni mtumishi wa Mungu, Mungu anae mtumikia atamwokoa kama alivyomwokoa daniel ktk tundu la simba, kama alivyowaokoa Shadrach Meshach na Abednego, kama alivyo muokoa mtumishi wake alipotupwa ktk pipa la mafuta.
 
Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada.

Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi wanafunzi halafu huku siasani akamalizia RC Makonda kwa " kumtikisa" Rais wa Dunia Donald Trump.

Wanasiasa hawa hawakutuhuzunisha sana kwa sababu hiyo nayo ni siasa iwe safi au chafu inabakia kuwa siasa. Hili la vifo kwenye mkusanyiko wa kiimani kwenye ibada ya dini ya Nabii na mtume Mwamposya ndio limewahuzunisha wengi.

Mbaya zaidi mtume Mwamposya amekamatiwa uwanja wa ndege akitaka kusepa

Nawatakia Dominika yenye baraka!
Kufa kila mtu atakufa. Nimehuzunishwa na wenzetu waliokufa kwa kukosa maarifa.

Lakini lililohuzunisha, kusikitisha na kutia hasira kuliko yote, ni hili la Makonda.

Wakati tunahangaika kujua ni nani anawaua watanzania wenzetu, ni nani anawapoteza watanzania wenzetu, ndipo tunaletewa taarifa inayosema kuna uhakika mkubwa kuwa Makonda amekuwa akiwadhulumu watu haki ya kuishi. Hili limekuwa jambo kubwa kuliko yote tangu mwaka uanze.

Yaani aliyefikiriwa kuwa ni kiongozi, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, aliyestahili kulinda uhai wa kila mtu, ndiye anayewaondolea watu haki ya kuishi!! Kwa hili tushirikiane kupaza sauti zetu ndani ya mipaka ya nchi yetu hata mpaka kingo za Dunia.

Unaweza kumkwepa adui anayejulikana ni adui. Lakini mtoto utamkwepa vipi mzazi ambaye amepanga kukuondolea haki ya kuishi?

Huyu mtu amewaondolea watu wangapi haki ya kuishi? Alikuwa anawaondolea akiwa na akina nani? Anatumwa na nani? Ameruhusiwa na nani? Watekelezaji ni nani? Ni maswali yanayoumiza japo hisia tunazo za majibu kwa haya maswali yote.

Tunajua Mungu wewe ni mwenye huruma. Tunaomba uwahurumie waliodhulumiwa haki yao ya kuishi uliyowapa. Laana kubwa izidiyo zote, na ikawe kwa mdhulumaji huyu, na hata na vizazi vyake vingi vijavyo.

Muumba wetu uendelee kutusamehe sisi sote maana kila siku tunakukosea lakini usitupatie msamaha wowote pale tunapodhulumu haki ya watu wengine kuishi.
 
Kudhulumu watu haki ya kuishi maana yake ni kuuwa?
 
😃😃mtumishi wa Mungu alikuwa ana kimbia!! Kweli vituko ..so siaongee na Mungu aliyemtuma ili amkomboe
 
Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada.

Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi wanafunzi halafu huku siasani akamalizia RC Makonda kwa " kumtikisa" Rais wa Dunia Donald Trump.

Wanasiasa hawa hawakutuhuzunisha sana kwa sababu hiyo nayo ni siasa iwe safi au chafu inabakia kuwa siasa. Hili la vifo kwenye mkusanyiko wa kiimani kwenye ibada ya dini ya Nabii na mtume Mwamposya ndio limewahuzunisha wengi.

Mbaya zaidi mtume Mwamposya amekamatiwa uwanja wa ndege akitaka kusepa

Nawatakia Dominika yenye baraka!
Hapo kwenye kupoteza vifo wakati wa ibada kuna walakini
 
Back
Top Bottom