johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada.
Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi wanafunzi halafu huku siasani akamalizia RC Makonda kwa " kumtikisa" Rais wa Dunia Donald Trump.
Wanasiasa hawa hawakutuhuzunisha sana kwa sababu hiyo nayo ni siasa iwe safi au chafu inabakia kuwa siasa. Hili la vifo kwenye mkusanyiko wa kiimani kwenye ibada ya dini ya Nabii na mtume Mwamposya ndio limewahuzunisha wengi.
Mbaya zaidi mtume Mwamposya amekamatiwa uwanja wa ndege akitaka kusepa
Nawatakia Dominika yenye baraka!