DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Aingilie pembeniItabidi Simbachawene aingilie kati!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aingilie pembeniItabidi Simbachawene aingilie kati!
Ni kweli kabisa madhara ya kule Lindi ni hatari tupu!Kuna habari ya maafa ya mafuriko haijapewa coverage kabisa japo nayo imehusisha vifo vya watanzania wenzetu huko kusini na pawaga iringa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana sana na wewe. Watu wenye elimu yao wanajua fika ukiumwa nenda kamuone Daktari. Walijua Ukimwi haukua umepata dawa ya kuutibu. Wanapanda maVX yao na hata helikopta kwenda kunywa kikombe cha Babu kule Loliondo! Kweli elimu bila maarifa ni sifuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unasema mtume kakamatiwa airport akitaka kukimbilia kwa mabeberu
[emoji2][emoji2]mtumishi wa Mungu alikuwa ana kimbia!! Kweli vituko ..so siaongee na Mungu aliyemtuma ili amkomboe
Kufa kila mtu atakufa. Nimehuzunishwa na wenzetu waliokufa kwa kukosa maarifa.
Lakini lililohuzunisha, kusikitisha na kutia hasira kuliko yote, ni hili la Makonda.
Wakati tunahangaika kujua ni nani anawaua watanzania wenzetu, ni nani anawapoteza watanzania wenzetu, ndipo tunaletewa taarifa inayosema kuna uhakika mkubwa kuwa Makonda amekuwa akiwadhulumu watu haki ya kuishi. Hili limekuwa jambo kubwa kuliko yote tangu mwaka uanze.
Yaani aliyefikiriwa kuwa ni kiongozi, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, aliyestahili kulinda uhai wa kila mtu, ndiye anayewaondolea watu haki ya kuishi!! Kwa hili tushirikiane kupaza sauti zetu ndani ya mipaka ya nchi yetu hata mpaka kingo za Dunia.
Unaweza kumkwepa adui anayejulikana ni adui. Lakini mtoto utamkwepa vipi mzazi ambaye amepanga kukuondolea haki ya kuishi?
Huyu mtu amewaondolea watu wangapi haki ya kuishi? Alikuwa anawaondolea akiwa na akina nani? Anatumwa na nani? Ameruhusiwa na nani? Watekelezaji ni nani? Ni maswali yanayoumiza japo hisia tunazo za majibu kwa haya maswali yote.
Tunajua Mungu wewe ni mwenye huruma. Tunaomba uwahurumie waliodhulumiwa haki yao ya kuishi uliyowapa. Laana kubwa izidiyo zote, na ikawe kwa mdhulumaji huyu, na hata na vizazi vyake vingi vijavyo.
Muumba wetu uendelee kutusamehe sisi sote maana kila siku tunakukosea lakini usitupatie msamaha wowote pale tunapodhulumu haki ya watu wengine kuishi.
Hao ni vpanga tu,utumishi ni gia tu,mafuta toka Nigeria yamemponza
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo mafuta nikiyataka nayapataje aisee...msaada tafafhali
😃sawa mkuu