Wikiendi Njema: Maombi yangu kwa wanawake wote wa JF wawe wenye kutenda haki na kuwa kwenye unyoofu

Ok kumbe una mtoto! 😁😳
ndio,,, mbona kushangaa ni ajabu😳au ulitaka uje utupe ndoano πŸ˜‚πŸ˜‚mana nmeona likes zako kwangu unabidiiπŸ˜†πŸ˜†
 
ndio,,, mbona kushangaa ni ajabu😳au ulitaka uje utupe ndoano πŸ˜‚πŸ˜‚mana nmeona likes zako kwangu unabidiiπŸ˜†πŸ˜†
Hahahah nilitaka niteke attention yangu kwako ila kama una mtoto basi πŸ™Œ.

Uwe na weeknd njema Ms R 😊
 
iba namba za mademu kwenye cm ya mshkaji wako then tupia kamba,, mbon una uandishi mzuri tu.
Hahaha kwenye uandishi nipo vizuri ila face 2 face ndo changamoto 😒.

Sijui nifanyeje 😣 siwezi iba kwenye simu za washkaji maana kuna password huko
 
Hahaha kwenye uandishi nipo vizuri ila face 2 face ndo changamoto 😒.

Sijui nifanyeje 😣 siwezi iba kwenye simu za washkaji maana kuna password huko
basi kaa na shda zako mi ndo huniwezi ivoo imekula kwako.
 
Aaah huu uzi utakuwa umecopy, haiwezekani mwandiko unyooke hivi!
 
Amina,ubarikiwe Kwa ujumbe mujarab! Afisa ubashiri!!
 
Kanisa lake liko wapi nianze kusali 🀣🀣🀣
Wakusanyikapo wawili au watatu katika Bwana, Mungu yu pa moja nanyi.

Kanisa tutakuwa nalo wenyewe Mm na ww
 
Jadda una lolote la kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…