Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Yeeesssss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeeesssss
Mbona umeacha kutumia I'd yako ya zamani?Yeeesssss
sjawahi miliki io id mimi,,labda huyo nae mwanae jna ni DMbona umeacha kutumia I'd yako ya zamani?
Ok kumbe una mtoto! 😁😳sjawahi miliki io id mimi,,labda huyo nae mwanae jna ni D
ndio,,, mbona kushangaa ni ajabu😳au ulitaka uje utupe ndoano 😂😂mana nmeona likes zako kwangu unabidii😆😆Ok kumbe una mtoto! 😁😳
Hahahah nilitaka niteke attention yangu kwako ila kama una mtoto basi 🙌.ndio,,, mbona kushangaa ni ajabu😳au ulitaka uje utupe ndoano 😂😂mana nmeona likes zako kwangu unabidii😆😆
ndoman mnaambiwa msipende kukurupuka 😂😂 asante nawe pia
Vipi hutaki tupeane joto la utamu wa vikojoleo 😛😝ndoman mnaambiwa msipende kukurupuka 😂😂 asante nawe pia
huko mtaani kwako havina joto?Vipi hutaki tupeane joto la utamu wa vikojoleo 😛😝
Mi domo zege! 😁huko mtaani kwako havina joto?
iba namba za mademu kwenye cm ya mshkaji wako then tupia kamba,, mbon una uandishi mzuri tu.Mi domo zege! 😁
Hahaha kwenye uandishi nipo vizuri ila face 2 face ndo changamoto 😢.iba namba za mademu kwenye cm ya mshkaji wako then tupia kamba,, mbon una uandishi mzuri tu.
basi kaa na shda zako mi ndo huniwezi ivoo imekula kwako.Hahaha kwenye uandishi nipo vizuri ila face 2 face ndo changamoto 😢.
Sijui nifanyeje 😣 siwezi iba kwenye simu za washkaji maana kuna password huko
🏃🏃🏃🏃 Okbasi kaa na shda zako mi ndo huniwezi ivoo imekula kwako.
🖐🏾🏃🏃🏃🏃 Ok
Wakusanyikapo wawili au watatu katika Bwana, Mungu yu pa moja nanyi.Kanisa lake liko wapi nianze kusali 🤣🤣🤣
Jadda una lolote la kusema?BINTI YANGU NJOO NIKUAMBIE HAPA.
Mithali 20:7
[7]Mwenye haki aendaye katika unyofu wake, watoto wake wabarikiwa baada yake.
Haki katika ndoa yako ambayo Mungu amekupa hakikisha unaishi katika haki, wamama wengi siku hizi hasa hawa mabinti wanajivunia watoto wao wakiwa wazuri wa sura, wakiwa na akili darasani, na akivaa nguo inamkaa utasikia wanangu wana damu za nguo jamani.
Yaani ndio imekuwa mada yaani umeona watoto wa wengine ni kama vigengedere tu.
Sasa ni hivi mmeacha kuomboleza, mmeacha kumtumikia Mungu, mmeacha kuheshimu ndoa zenu, yaani mmeacha kuwa wenye haki.
Andiko tajwa hapo juu linazungumzia mzazi atakae kwenda ktk unyofu wa haki hakika watoto wake watabarikiwa badala yake, yaani watoto watarithi nini kutoka kwako?
Natamani Ukue uone jinsi gani Dunia imeharibika nje kumeoza ni kwamba Kama jamii haiko salama basi watoto wako hawako salama.
Acha kujipiga msamba tamani kuwa mama muombolezaji na uwafanye watoto wako wana wa Mungu.
Ni maombi yangu watoto wetu wawe wana wa Mungu.
YESU LUGHA YANGU.