Wikiendi ya Leo: Niulize Chochote Kuhusu Mimi Nitakujibu!

Ahsante Kwa kutoa nafasi ya kuulizwa Maswali.

Maswali yangu ni kama ifuatavyo:

1) Maisha ni nini..?

Maisha yanamaana gani kwako..?

2)Dini ipi ni sahihi..?

Ungepewa nafasi ya kuumba ulimwengu"dunia" Je ungeumba ulimwengu kama ulivyo au uuonavyo sasa..?

3)Kipi kikupacho huzuni Katika Maisha na kipi kikupacho furaha katika Maisha..?

4)Kwanini kuna binadumu Tajiri na Binadamu maskini...?

Kwanini Taifa moja ni tajiri lingine ni maskini...?

5)katiba ya Mwaka 77' imeandika Tanzania ni Nchi ya ujamaa na kujitegemea,Nini mtazamo wako kuhusu Ujamaa..?

Ipi njia bora ya kuleta maendelo kwa haraka Udikteta au Democracy...?

6)Mfumo wetu wa Elimu unamapungufu gani..?

Yapi maoni yako kuhusu lugha ya kufundishia kuanzia ngazi ya chini mpaka Juu..?

7)Yupi bora afanyaye mema bila hofu ya Mungu au afanyaye mema kwa hofu ya Mungu(Jehanamu)...?

Ukiambiwa uchague paradise ya Kusifu na kuimba nyimbo milele yote na paradise ya Minofu,Maakuli,Mapocho-pocho madikodiko,mvinyo,Muziki,Wali mchafu milele yote Lipi chaguo lako hapa..?

8)Jambo gani hulipendi hapa Jamii forum...?

Kipi kibadilike au kiongezeke au kifanyiwe marekibisho kwa members wote wa Jamii forum...?

Shukran!!!

Alisina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Kwanza Kabisa Maisha Hayana Definition Rasmi, Definition yake ni tofauti kwa kila Mmoja Jinsi anavyoyaishi!

Kwangu Mimi Maisha ni All about being Happy, For Me the Purposes of Our Lives is t o happy.. Kuwa na Furaha tu!

2.Hapa nitazungumza Kama Mkristu, Dini Ambayo inamkiri Yesu Kristu Kuwa Bwana Na Mwokozi wetu!

Nafikiri Kuhusu Kuumba Ulimwengu hapa No Comment!

3.Kitu Kinachipa Huzuni Kuona kuna watu wa tabaka Fulani wakiteseka sana hapa Duniani.. yaani wanakuwa na Maisha Magumu sana!

Kitu Kinachonifurahisha ni Pale ninapomsaidia au Mawazo yangu yanapokuwa Chanzo cha Mtu kufanikiwa

4.Swali la Binadamu mmoja kuwa Tajiri na mwingine kuwa maskini ni very wide concept, ikiwa na factors nyingi kama Elimu, Mazingira n ahata Makuzi… Hakuna Jibu rasmi la Moja kwa Moja!

Kuhusu upande wa Taifa, Factors zinakaribia kufanana.. hasa elimu, na Jinsi utawala wa Taifa ulivyo n ahata Management ya Rasilimali za Taifa!

5.Mfumo wa Ujamaa ni Mzuri, Mwl. Hakukosea lakini kwa Taifa kama Tanzania ambalo halikuwa stable Economicaly kwa wakati ule usingeweza Ku Apply Ujamaa..

Binafsi naamini katika democrasia Zaidi, Democrasia huleta Maendeleo haraka, mf. Tazama Nchi kama Marekani na Nchi za Umoja wa Ulaya!

6. Mfumo wa Elimu wa Tanzania una Mapungufu Mengi ambayo siwezi Kuelezea Hapa, hii hasa huchangiwa na Nchi yetu kuwa Developing Country (Third World CountrY)

Na suggests kiingereza kitumike Primary Mpaka Chuo.. ili vijana wetu waweze kumaster Kiingereza vizuri.. ukizingatia ili kuendana na sayansi na Teknolojia lazima uwe vizuri katika lugha hiyo! Kwa sababu manual nyingi za Machines zinakuja na Lugha hiyo!

7.Afanyaye Mema bila Hofu ya Mungu ni Bora Zaidi japo afanyaye Mema kwa hofu ya Mungu ni Bora pia!

Kipengele B. No Comment!

8.Jambo Ambalo silipendi ni Pale mtu anapoomba Ushauri serious na watu kumfanyia mizaha katika vitufe vya Maoni, na Hii ya watu wengi kuleta bad experience kuhusu Ndoa, huwakatisha tamaa wanandoa watarajiwa!

Kuwe na Kitufe cha Kudislike!

ALFRED
 
Kwa nn mtu awe mkatoliki? Je kuna umuhumu/ulazima? Na je watakaoenda mbinguni ni wakatoliki pekee? Kama sivyo au ndivyo kwa nn
 
Hili ndilo Kanisa ambalo ni ina utajiri wa historia.. cheni yake inatambulika kuanzia kwa Yesu Mpaka Petro Mpaka tulipo sasa, Kanisa lenye Muongozo Thabithi..Ambalo ukiwa ndani yake unahisi kufunikwa kweli..Watakaoenda Mbinguni sio wakatoliki Pekee.. Hata wakatoliki Katika MTAGUSO WA II WA VATIKANO ilipitishwa Hati inayosema.. Hata wale waliokufa lakini hawakuwa wakristo au kuwa na imani yoyote inayohusiana na Mungu wanaweza Kwenda Mbinguni.. yaani watahukumiwa kutokana na Matendo yao waliyoyatenda Duniani!
 
Kwa hiyo hakuna umuhimu wa kua mkatoliki ili kwenda mbinguni?
 
intelligence quotient yang ni zaidi ya 70% kuhusiana na nilichosoma
IQ haiandikwi in percent.
Inaonesha vitu vingi nje ya box hujui but sio kesi, .. Ingia site kama Zoom, Ajirazetu, Brightermonday na nyingine kama hizo huko kuna nafasi za kazi nyingi na za records zipo pia ni juhudi yako tu kutumia mtandao kufanya vya maana kama hivyo
 
Usiamini Vigezo na test zinazotumika Kupima IQ, hata wataalamu wenyewe wanakubali kuwa vipimo wanavotumia sio constant ya Kupima IQ
naomba ushahidi wa wataalamu wawili tu waliosema hivyo, na useme ni wataalamu wa nini
 
Mkuu Kuifanya Mada kuwa Fupi ni Kwamba IQ test is just like Prediction, the prediction is far from perfect, but that doesn't mean that it's a "useless" measure
 
yeah I know that, but wewe si umeruhusu kuulizwa, ndio hapo nimeomba proof ya unachokisema, other wise uniambie kuwa umenidanganya hauna uthibitisho wa wataalamu waliopinga usahihi wa IT test mbona rahisi tu kumaliza hivyo.
Na ninajua hauna uthibitisho kweli, kukuuliza haya maswali nilikuwa na maana kubwa tu
 
Kuna articles Zangu Ninazo Sema Niko Mbali na PC yangu, Ningekushushia Nondo,😀😀
 
1.Kwanza Kabisa Maisha Hayana Definition Rasmi, Definition yake ni tofauti kwa kila Mmoja Jinsi anavyoyaishi!

Kwangu Mimi Maisha ni All about being Happy, For Me the Purposes of Our Lives is t o happy.. Kuwa na Furaha tu!

2.Hapa nitazungumza Kama Mkristu, Dini Ambayo inamkiri Yesu Kristu Kuwa Bwana Na Mwokozi wetu!

Nafikiri Kuhusu Kuumba Ulimwengu hapa No Comment!

3.Kitu Kinachipa Huzuni Kuona kuna watu wa tabaka Fulani wakiteseka sana hapa Duniani.. yaani wanakuwa na Maisha Magumu sana!

Kitu Kinachonifurahisha ni Pale ninapomsaidia au Mawazo yangu yanapokuwa Chanzo cha Mtu kufanikiwa

4.Swali la Binadamu mmoja kuwa Tajiri na mwingine kuwa maskini ni very wide concept, ikiwa na factors nyingi kama Elimu, Mazingira n ahata Makuzi… Hakuna Jibu rasmi la Moja kwa Moja!

Kuhusu upande wa Taifa, Factors zinakaribia kufanana.. hasa elimu, na Jinsi utawala wa Taifa ulivyo n ahata Management ya Rasilimali za Taifa!

5.Mfumo wa Ujamaa ni Mzuri, Mwl. Hakukosea lakini kwa Taifa kama Tanzania ambalo halikuwa stable Economicaly kwa wakati ule usingeweza Ku Apply Ujamaa..

Binafsi naamini katika democrasia Zaidi, Democrasia huleta Maendeleo haraka, mf. Tazama Nchi kama Marekani na Nchi za Umoja wa Ulaya!

6. Mfumo wa Elimu wa Tanzania una Mapungufu Mengi ambayo siwezi Kuelezea Hapa, hii hasa huchangiwa na Nchi yetu kuwa Developing Country (Third World CountrY)

Na suggests kiingereza kitumike Primary Mpaka Chuo.. ili vijana wetu waweze kumaster Kiingereza vizuri.. ukizingatia ili kuendana na sayansi na Teknolojia lazima uwe vizuri katika lugha hiyo! Kwa sababu manual nyingi za Machines zinakuja na Lugha hiyo!

7.Afanyaye Mema bila Hofu ya Mungu ni Bora Zaidi japo afanyaye Mema kwa hofu ya Mungu ni Bora pia!

Kipengele B. No Comment!

8.Jambo Ambalo silipendi ni Pale mtu anapoomba Ushauri serious na watu kumfanyia mizaha katika vitufe vya Maoni, na Hii ya watu wengi kuleta bad experience kuhusu Ndoa, huwakatisha tamaa wanandoa watarajiwa!

Kuwe na Kitufe cha Kudislike!

ALFRED
Shukran kwa Majawabu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom