Wikiendi yangu ya leo

Wikiendi yangu ya leo

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati 😀, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.

Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-​
  • Chakula.........100,000/=​
  • Vinywaji.........200,000/=​
  • Malazi..............100,000/=​
  • Tahadhari........100,000/=​
Kama unajiamini wewe ni pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.​
 
  • Taadhari........100,000/=​
Kama unajiamini wewe ni pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.​
Haiombwi hivyo Mkuu.

Waambie kuna 300k kwa pisi kali. Tupige siku moja.

Sasa hiyo budget yako hakuna hata kishika mkono kwa mtoto wa watu. Uje umlale na aondoke mtupu na hangover!?
 
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati 😀, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.

Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-​
  • Chakula.........100,000/=​
  • Vinywaji.........200,000/=​
  • Malazi..............100,000/=​
  • Tahadhari........100,000/=​
Kama unajiamini wewe i pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.​
Maskini bwana, ebu muogeshe hata mjomba wako hapo kwa sister ako. Acha kuwaza ujinga dogo.
 
Back
Top Bottom