Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nina ka mia tano hapa mfuko wa shati 😀, natafuta pisi inayojitambua tukaitumie jioni ya leo.
Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-
Matumizi yatakuwa kama ifuatavyo:-
- Chakula.........100,000/=
- Vinywaji.........200,000/=
- Malazi..............100,000/=
- Tahadhari........100,000/=
Kama unajiamini wewe ni pisi kali, ukipita sehemu lazima watu wavunjike shingo kwa kukutazama, sogea karibu uje ufurahi na marafiki.