TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 299
- 407
In G.O.D We Trust... Over!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu kama hicho Libya, Syria, Iraq amani yao hawatapata amani leo wala kesho hiyo ni kwa sababu ya maslah ya wazungu. Sio watu hawa jamaa weupeKinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???
Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani
Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???
Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????
Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Bank yetu ina reserve kiasi gani cha dhahabu?Sababu hasa za kuwindwa, kungolewa madarakani na hatimae kuuawa kwa Muammar Gaddafi zawekwa wazi kupitia mtandao wa Wikileaks
View attachment 723342
View attachment 723344
Mkuu.....Kinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???
Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani
Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???
Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????
Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Mkuu uliona turn up ya waandamanaji?? Hivi unajua hata mji wake wa nyumbani walikataa kumlinda??? Kama angekubalika hakuna ambaye angekubali auawe na waasi??Mkuu.....
Turudishe muda nyuma afu utupe majibu kama tumtoe Gaddafi au tumwache we unachagua Lipi....?
Kuna watu hawatakiwi na Umma wao ila kuna watu Wanakubalika na umma wao ila kikundi kidogo chenye tamaa na ushawish mkubwa wa Wazungu tu wanaaribu nchi iliyokua mbali kabisa.......!
Sasa Mugabe kila mtu kashachoka nan angempigania tena?
Mkuu Mimi nadhani kuna nchi nyingine ili zitulie au zisiwe na maafa makubwa inabidi ziwe chini ya watu wababe tu. Mfano Libya ya Gadaffi na Libya ya saizi maafa makubwa yanatokea saizi japo tuliaminishwa Gadafi ni mbaya lakini ndio alikuwa mtu sahihi wa kutawala Libya. Kingine nikuulize tu unadhani kuna siku itatokea wazungu wataenda kumtoa Museven kisa ni dikteta?Kinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???
Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani
Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???
Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????
Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Ni kweli nakubaliana na ww kuna nchi bila kuwa dikteta haziendi hta DRC ikipata dikteta itatulia kma ambavyo Rwanda imetulia baada ya kupata dikteta.... Hata uganda kabla ya museveni ilikuwa vita kila kukicha ila kaja dikteta pametulia haswaaaa!! Uko sahihi kabisa hapaMkuu Mimi nadhani kuna nchi nyingine ili zitulie au zisiwe na maafa makubwa inabidi ziwe chini ya watu wababe tu. Mfano Libya ya Gadaffi na Libya ya saizi maafa makubwa yanatokea saizi japo tuliaminishwa Gadafi ni mbaya lakini ndio alikuwa mtu sahihi wa kutawala Libya. Kingine nikuulize tu unadhani kuna siku itatokea wazungu wataenda kumtoa Museven kisa ni dikteta?
Hapo Mkuu nimekuelewa. Kwa majibu yako naona tuna hoja sawa.Ni kweli nakubaliana na ww kuna nchi bila kuwa dikteta haziendi hta DRC ikipata dikteta itatulia kma ambavyo Rwanda imetulia baada ya kupata dikteta.... Hata uganda kabla ya museveni ilikuwa vita kila kukicha ila kaja dikteta pametulia haswaaaa!! Uko sahihi kabisa hapa
Kuhusu museveni ni kweli wazungu wanaweza wasimtoe sababu hakuna manufaa ya kiuchumi watayapata tofauti na wakienda mtoa al bashir au kabila!!! Ila nachojiuliza kwanini muwape fursa ya kufanya hivyo??? Mbona miaka yote walishindwa kumtoa gadaffi ila 2011 waliweza??
Its very simple wakishapata support ya wananchi basi wanakutoa muda wowote wanaotaka..... Hivyo ni kazi ya hawa madikteta kutenda haki ili hata wakitaka kupinduliwa na wazungu wakose fursa ya kufanya hivyo ila ukifanya udikteta wananchi hata 100 wakikuchoka basi unawapa fursa wazungu kuingia na kukutoa bila shida yoyote
Kipindi cha mpitoKinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???
Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani
Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???
Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????
Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Kuna sehemu nilisoma makala ya libya..mji ulioharibika ni mmoja wa bengazi but tripoli ipo vizuri haina shida..na kuna serikali mbili ya bengezi na tripoliNi kweli nakubaliana na ww kuna nchi bila kuwa dikteta haziendi hta DRC ikipata dikteta itatulia kma ambavyo Rwanda imetulia baada ya kupata dikteta.... Hata uganda kabla ya museveni ilikuwa vita kila kukicha ila kaja dikteta pametulia haswaaaa!! Uko sahihi kabisa hapa
Kuhusu museveni ni kweli wazungu wanaweza wasimtoe sababu hakuna manufaa ya kiuchumi watayapata tofauti na wakienda mtoa al bashir au kabila!!! Ila nachojiuliza kwanini muwape fursa ya kufanya hivyo??? Mbona miaka yote walishindwa kumtoa gadaffi ila 2011 waliweza??
Its very simple wakishapata support ya wananchi basi wanakutoa muda wowote wanaotaka..... Hivyo ni kazi ya hawa madikteta kutenda haki ili hata wakitaka kupinduliwa na wazungu wakose fursa ya kufanya hivyo ila ukifanya udikteta wananchi hata 100 wakikuchoka basi unawapa fursa wazungu kuingia na kukutoa bila shida yoyote
Hahahahah mzee kaka lugha lugha lugha usione mtu analilia udadavuzi, ukiona mtu mzima analia ana sababu...!!!Mtoa mada amenukuu kutoka wikileaks sasa wewe kazi yako ni kufanya utafiti zaidi. Hivi ni sawa ndani ya karne hii nyama ununuliwe, upikiwe, ulishwe na bado unataka huyo anayekulisha aisukume kwenda tumboni????
Hata Uganda walipomtoa Idd Amin waliteseka sana na walikuwa na vikundi vya waasi kibao,uchumi uliporomoka na hali ya usalama kuanguka sana je na wenyewe ulitaka wajute kwa kumtoa dikteta Amin maana Enzi za Amin uchumi wa uganda ulikuwa vizuri hata kuliko sahivi!!! Je unataka wakute kumtoa Amin??? Tusiangalie upande mmoja jamani hata ufaransa ilibidi wampindue mfalme wao ili wafike walipofika leo mabadiliko huja na gharama so miaka 10 ikipita watakuwa wamesharudi juu tena hao libyaKipindi cha mpito
nenda nawewe mkashiriki hicho kipindi
Kwahiyo wale waandamanaji zaidi ya million 3 miji yote walikuwa WAZUNGU?? Hivi unakumbuka toka waasi waanze vita hadi NATO ipeleke ndege yake ya kwanza ilipita miezi mingapi???Halafu kuna Vijitu viliaminishwa kilichomtoa Madarakani ni ukosefu wa Demokrasia
Kwahiyo wale waandamanaji zaidi ya million 3 miji yote walikuwa WAZUNGU?? Hivi unakumbuka toka waasi waanze vita hadi NATO ipeleke ndege yake ya kwanza ilipita miezi mingapi???
Mchawi ni gadaffi mwenyewe mbona hatuoni hizi shida misri au saudi Arabia ambako maandamano yalifanyika pia?? Kma angeondoka kwa amani unafkiri haya yote yangetokea??
Lakini bado Angola nako kulikuwa na strife kwahiyo kuomba support ya kivita kwa waasi au serikali ilikuwa haiepukiki kwa pande zoteUSSR Na US walipokuwa wanapiganisha vita Angola uliona kuna Mrusi Au Mmarekani?
Ukijifunza Imperialism technique and technics kwenye Invasion maeneo yenye resources utaelewa!