Wikileaks yajibu kitendawili cha kwanini Muammar Gaddafi aling'olewa madarakadi na hatimae kuuawa

Ukiona wazungu hawajishughulishi na wewe basi jua kuwa hauna impact yoyote kwao kwenye suala la maslahi yao.
 
Kinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???

Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani

Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???

Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????

Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Hamna kitu kama hicho Libya, Syria, Iraq amani yao hawatapata amani leo wala kesho hiyo ni kwa sababu ya maslah ya wazungu. Sio watu hawa jamaa weupe
 
Kinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???

Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani

Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???

Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????

Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Mkuu.....

Turudishe muda nyuma afu utupe majibu kama tumtoe Gaddafi au tumwache we unachagua Lipi....?

Kuna watu hawatakiwi na Umma wao ila kuna watu Wanakubalika na umma wao ila kikundi kidogo chenye tamaa na ushawish mkubwa wa Wazungu tu wanaaribu nchi iliyokua mbali kabisa.......!

Sasa Mugabe kila mtu kashachoka nan angempigania tena?
 
Mkuu uliona turn up ya waandamanaji?? Hivi unajua hata mji wake wa nyumbani walikataa kumlinda??? Kama angekubalika hakuna ambaye angekubali auawe na waasi??

Gadaffi kweli ni mchapa kazi ila udikteta wake ndio uliwapa fursa wasiompenda kumng'oa....
 
Kinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???

Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani

Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???

Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????

Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Mkuu Mimi nadhani kuna nchi nyingine ili zitulie au zisiwe na maafa makubwa inabidi ziwe chini ya watu wababe tu. Mfano Libya ya Gadaffi na Libya ya saizi maafa makubwa yanatokea saizi japo tuliaminishwa Gadafi ni mbaya lakini ndio alikuwa mtu sahihi wa kutawala Libya. Kingine nikuulize tu unadhani kuna siku itatokea wazungu wataenda kumtoa Museven kisa ni dikteta?
 
Ni kweli nakubaliana na ww kuna nchi bila kuwa dikteta haziendi hta DRC ikipata dikteta itatulia kma ambavyo Rwanda imetulia baada ya kupata dikteta.... Hata uganda kabla ya museveni ilikuwa vita kila kukicha ila kaja dikteta pametulia haswaaaa!! Uko sahihi kabisa hapa

Kuhusu museveni ni kweli wazungu wanaweza wasimtoe sababu hakuna manufaa ya kiuchumi watayapata tofauti na wakienda mtoa al bashir au kabila!!! Ila nachojiuliza kwanini muwape fursa ya kufanya hivyo??? Mbona miaka yote walishindwa kumtoa gadaffi ila 2011 waliweza??

Its very simple wakishapata support ya wananchi basi wanakutoa muda wowote wanaotaka..... Hivyo ni kazi ya hawa madikteta kutenda haki ili hata wakitaka kupinduliwa na wazungu wakose fursa ya kufanya hivyo ila ukifanya udikteta wananchi hata 100 wakikuchoka basi unawapa fursa wazungu kuingia na kukutoa bila shida yoyote
 
Hapo Mkuu nimekuelewa. Kwa majibu yako naona tuna hoja sawa.
 
Kinachoimaliza libya sio demokrasia ila kipindi cha mpito baada ya VITA mbona misri na tunisia walipindua nchi zao wameweka demokrasia ila hakuna makundi ya kigaidi kma libya???

Kama gadaffi angeondoka kwa amani kusingekuwepo na ISIS wala Al qaeda ama makundi yanayovuruga nchi so wakulaumiwa ni gadaffi sio marekani

Kingine tusilaumu wazungu ilihali waafrika wenyewe tunawaachia mashimo..... Kama gadaffi asingekuwa dikteta wangepata sababu ya kumtoa?? Hivi leo akitolewa museveni au kabila na wazungu mtasema wazungu wabaya?? Wakati chanzo ni udikteta wao???

Hicho ni kipindi cha mpito tuu ambacho hta uganda ilipitia baada ya kumtoa idd amin ssa je na wao watulaumu kwamba baada ya nyerere kumtoa amin uganda ilikuwa ina vikundi vya waasi zaidi ya 100 hivyo watanzania tulifanya kosa kumtoa idd amin? Does it make sense?? Mobutu alikuwa dikteta haswaa ila baada ya kutolewa congo ina waasi kibao makundi zaidi ya 200 mashariki ya congo pekee je walaumu kutolewa kwa mobutu na demokrasia kuletwa kisa tu kipindi cha mpito baada ya vita?????

Tusichanganye mambo madhara ya vita hayahusiani na sababu za kumtoa dikteta hta mobutu angeondoka kwa amani kma zimbabwe mbona hatuoni makundi ya waasi?? Afrika kusini alitoka kwa amani hakuna waasi ila mugabe angepigana vita nako nchi ingesambaratika ssa utalaumu wazungu hapo???
Kipindi cha mpito
nenda nawewe mkashiriki hicho kipindi
 
Ni kweli nakubaliana na ww kuna nchi bila kuwa dikteta haziendi hta DRC ikipata dikteta itatulia kma ambavyo Rwanda imetulia baada ya kupata dikteta.... Hata uganda kabla ya museveni ilikuwa vita kila kukicha ila kaja dikteta pametulia haswaaaa!! Uko sahihi kabisa hapa

Kuhusu museveni ni kweli wazungu wanaweza wasimtoe sababu hakuna manufaa ya kiuchumi watayapata tofauti na wakienda mtoa al bashir au kabila!!! Ila nachojiuliza kwanini muwape fursa ya kufanya hivyo??? Mbona miaka yote walishindwa kumtoa gadaffi ila 2011 waliweza??

Its very simple wakishapata support ya wananchi basi wanakutoa muda wowote wanaotaka..... Hivyo ni kazi ya hawa madikteta kutenda haki ili hata wakitaka kupinduliwa na wazungu wakose fursa ya kufanya hivyo ila ukifanya udikteta wananchi hata 100 wakikuchoka basi unawapa fursa wazungu kuingia na kukutoa bila shida yoyote
Kuna sehemu nilisoma makala ya libya..mji ulioharibika ni mmoja wa bengazi but tripoli ipo vizuri haina shida..na kuna serikali mbili ya bengezi na tripoli

Madictator lazima walaumiwe mfano kagame ma m7 wanaona kama wakitoka hakuna mwingine anayeweza tawala..yaani wana haki milki ya nchi

Ni vizuri kuandaa viongozi..sio kujiona kuwa bila ww..hakuna mwenye haki ya kutawala nchi
 
Halafu kuna Vijitu viliaminishwa kilichomtoa Madarakani ni ukosefu wa Demokrasia
 
Mtoa mada amenukuu kutoka wikileaks sasa wewe kazi yako ni kufanya utafiti zaidi. Hivi ni sawa ndani ya karne hii nyama ununuliwe, upikiwe, ulishwe na bado unataka huyo anayekulisha aisukume kwenda tumboni????
Hahahahah mzee kaka lugha lugha lugha usione mtu analilia udadavuzi, ukiona mtu mzima analia ana sababu...!!!
 
Kipindi cha mpito
nenda nawewe mkashiriki hicho kipindi
Hata Uganda walipomtoa Idd Amin waliteseka sana na walikuwa na vikundi vya waasi kibao,uchumi uliporomoka na hali ya usalama kuanguka sana je na wenyewe ulitaka wajute kwa kumtoa dikteta Amin maana Enzi za Amin uchumi wa uganda ulikuwa vizuri hata kuliko sahivi!!! Je unataka wakute kumtoa Amin??? Tusiangalie upande mmoja jamani hata ufaransa ilibidi wampindue mfalme wao ili wafike walipofika leo mabadiliko huja na gharama so miaka 10 ikipita watakuwa wamesharudi juu tena hao libya
 
Basement ya British Central Bank pale Bank wana hazina za gold walizokusanya kutoka kwenye makoloni hasa baadavya WWII kwani uchumi wao uliyumba sana.
Hakuna wa kuwauliza na hayasemwi
 
Halafu kuna Vijitu viliaminishwa kilichomtoa Madarakani ni ukosefu wa Demokrasia
Kwahiyo wale waandamanaji zaidi ya million 3 miji yote walikuwa WAZUNGU?? Hivi unakumbuka toka waasi waanze vita hadi NATO ipeleke ndege yake ya kwanza ilipita miezi mingapi???

Mchawi ni gadaffi mwenyewe mbona hatuoni hizi shida misri au saudi Arabia ambako maandamano yalifanyika pia?? Kma angeondoka kwa amani unafkiri haya yote yangetokea??
 
USSR Na US walipokuwa wanapiganisha vita Angola uliona kuna Mrusi Au Mmarekani?

Ukijifunza Imperialism technique and technics kwenye Invasion maeneo yenye resources utaelewa!
 
Lakini bado Angola nako kulikuwa na strife kwahiyo kuomba support ya kivita kwa waasi au serikali ilikuwa haiepukiki kwa pande zote

Nachokataa ni watu kuaminishwa humu kuwa watu wadhalimu hutolewa na wazungu na sio kwamba wananchi wamewachoka !! Mfano savimbi alikuwa na support ya nusu ya wananchi wa angola sasa unaanzaje kusema wazungu ndio walivuruga angola wakati vita ilianzwa mapema na savimbi mwenyewe kwa uroho wa madaraka!!

Ambacho mnatakiwa mseme ni kwamba wazungu wanapenda kuingilia VITA kma syria kwa ajili ya maslahi yao binafsi ila sio kuwawekea lawama hata pale wananchi wakionyesha kumkataa huyo kiongozi.
 
Back
Top Bottom