Unapopewa taarifa ili ulete humu unapaswa ujiulize maswali muhimu yafuatayo;
1.Huyo Johari anayelalamika kulazimishwa penzi ana sura gani hasa ya kuvutia?
2.Johari amekuwa akichanganya mambo ya kitaalamu na siasa.
3 Johari ana stress kubwa ya kutapeliwa fedha na taasisi fulani ya fedha ambayo ilifungiwa na serikali(alikuwa anawashauri pia baadhi ya walimu na aliwapeleka nzega ili nao watapeliwe ila wakawa wajanja.
4.Mwl Mkuu wa Kaliua Sec ni chapakazi na mtendaji ndio maana alichaguliwa.Mwl huyu ana mke wake palepale shule,kama angekuwa anakula wanafunzi mke wake angeshashtuka.
5.Ded wa Sasa ni chapakazi,Kama na wewe wataka ndevu si ufuge??