Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

mtoa mada ameongelea ndani ya Nchi
Kwa huku ndani ni mara chache sana usikie mtu akisema anasafiri kwenda Kilimanjaro, utasikia tuanakwenda Moshi
Hata wachaga wakienda kula Christmas huesafiri kwenda Moshi na sio Kilimanjaro
Wapi kasema ndani ya nchi ,nionyeshe nikurushie usd 300 sasa iv upooze koo.
 
Back
Top Bottom