Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

Rungwe na Mbeya ni mikoa tofauti, kama hujui fatilia.

Acha kukaza fuvu mzee, kubali kukosolewa.

Kibaha nakataa. Wilaya zote za mkoa wa Pwani hazina utofauti kiasi hicho.
Nimekubali mkuu ila sijapenda kukubali kinyonge mkuu😁
 
Kahama tu ndo inayostahili kuwa hapo hizo nyingine bukoba sijui moshi ni wilaya ambazo umaarufu wake ni kwa vile makao makuu ya mikoa husika yapo kwenye hizo wilaya tofauti kabisa na Kahama iko mbali na mkoa wake lakini ni maarufu kwa kila kitu kuzidi mzazi wake(mkoa),

Wafanye waipe mkoa tu na kwa mtizamo wangu inatakiwa imegwe Tabora ambapo Nzega yote itoke, Tinde, na sehemu ya wilaya ya bukombe, kwenye nzega zipatikane wilaya mbili nzega na bukene, tinde iwe wilaya na bukombe au ushirombo
 
Back
Top Bottom