Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

Wilaya maarufu kuliko mikoa yake

Mererani ndo inachanganya ila karatu inajulikana ipo Arusha, halafu wengine wanachanganya mbulu na karatu
Kweli karatu na mbulu haziwezi nichanganya kabisa kipindi nimemaliza chuo nilizunguka kwenye minada hadi chocho zote kupata chochote kitu naijua vizuri mno, kwa zile gari land-rover na vumbi la huko nimelinywa mno
 
Kweli karatu na mbulu haziwezi nichanganya kabisa kipindi nimemaliza chuo nilizinguka kwenye minada hadi chocho zote kupata chochote kitu naijua vizuri mno, kwa zile gari land-rover na vumbi la huko nimelinywa mno
Sasa wasio wenyeji wanapachanganya
 
Mererani inaweza kukuchanganya kama ni arusha , manyara au kilimanjaro pia.
Manyara hasa hayo mambuga ina eneo kubwa sana hao majirani zake wote wakongwe ila kwa eneo hawampati inapelekea baadhi ya maeneo mtu adhani yapo mikoa jirani
 
Kwa mkoa wa Pwani wilaya zake kama kibaha na bagamoyo majina yake ni maarufu zaidi
 
Rungwe na Mbeya ni mikoa tofauti, kama hujui fatilia.

Acha kukaza fuvu mzee, kubali kukosolewa.

Kibaha nakataa. Wilaya zote za mkoa wa Pwani hazina utofauti kiasi hicho.
Mkuu kuanzia lini Rungwe umekuwa ni mkoa? Hilo wazo la kufanya kuwa mkoa lilikuwepo lakini bado halijatekelezwa.
 
Nyie mnaosema Karatu ni wilaya ya Manyara, kwa hiyo hata google hamuijui?.

Screenshot_20240623-185553.png
 
Back
Top Bottom