Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini.

Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia bila kupanuliwa mapema tutalia kila siku.

img_1_1740928241617.jpg
 
Inahitaji umakini sana kupita hayo maeneo, pia ulevi ni tatizo kwa madereva wengi hapa nchini
 
Hiyo ni sawa na Madaba na Makambako sio Wilaya kamili zina Wakurugenzi na Mwenyekiti hazina Mkuu wa Wilaya. Chalinze Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ndio anaongoza na huko
politics tu,kutoka bagamoyo hadi chalinze wilaya moja mhii, Kumaliza ugomvi mlandizi na chalinze ziwe wilaya maana ndo tabu ilipo bagamoyo ijitegemee
 
politics tu,kutoka bagamoyo hadi chalinze wilaya moja mhii, Kumaliza ugomvi mlandizi na chalinze ziwe wilaya maana ndo tabu ilipo bagamoyo ijitegemee
Siasa inaleta hizo mambo sahizi wameipa Mlandizi makao Mkuu ya Wilaya ya Kibaha vijijini. Na Kibaha Mjini wiki iliyopita imepandishwa kuwa Manispaa
 
Back
Top Bottom