The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Nitajie Mkuu wake wa Wilaya
vilinge vipi tenaTatizo vilinge vingi sana maeneo hayo
Hiyo ni sawa na Madaba na Makambako sio Wilaya kamili zina Wakurugenzi na Mwenyekiti hazina Mkuu wa Wilaya. Chalinze Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ndio anaongoza na huko
politics tu,kutoka bagamoyo hadi chalinze wilaya moja mhii, Kumaliza ugomvi mlandizi na chalinze ziwe wilaya maana ndo tabu ilipo bagamoyo ijitegemeeHiyo ni sawa na Madaba na Makambako sio Wilaya kamili zina Wakurugenzi na Mwenyekiti hazina Mkuu wa Wilaya. Chalinze Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ndio anaongoza na huko
Siasa inaleta hizo mambo sahizi wameipa Mlandizi makao Mkuu ya Wilaya ya Kibaha vijijini. Na Kibaha Mjini wiki iliyopita imepandishwa kuwa Manispaapolitics tu,kutoka bagamoyo hadi chalinze wilaya moja mhii, Kumaliza ugomvi mlandizi na chalinze ziwe wilaya maana ndo tabu ilipo bagamoyo ijitegemee