BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Yes kuna eneo pale kakabidbiwa mjomba wa Oman awekeze, wanakijiji wamefurushwa na wako uhamishoni pia
Hebu tulia weka habari kamili. Weka nyaraka zinazoonyesha jina la huyo mjomba wa Oman. Weka title deeds, Weka hata picha kama unazo. Kuandika hivyo bila uthibitisho ni kupoteza muda wa wasomajiUkiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya.
View attachment 3074593
Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na hii kasi ni kubw awamu ya huyu Mama ambaye yeye haoni shismda kabisa kuuza maeneo kwa Wawekezaji hasa wa kutoka Ujombani kule.
Target ya Mama hadi anatoka Madarakani ni kuuza angalau mkoa mmoja mzima kabisa na raia wake wanauzwa.
Kama wameridhia na wakilishi wa wanakijini na viongozi wetu, sioni kama kuna kosa bado tunahitaji wawekezaji ili tupate maendeleo, mambo ya ushabiki tuachana nao, hamna cha ujomba au shangazj mbona wa China wapo kila sehemu?Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya.
View attachment 3074593
Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na hii kasi ni kubw awamu ya huyu Mama ambaye yeye haoni shismda kabisa kuuza maeneo kwa Wawekezaji hasa wa kutoka Ujombani kule.
Target ya Mama hadi anatoka Madarakani ni kuuza angalau mkoa mmoja mzima kabisa na raia wake wanauzwa.
Kama wameridhia na wakilishi wa wanakijini na viongozi wetu, sioni kama kuna kosa bado tunahitaji wawekezaji ili tupate maendeleo, mambo ya ushabiki tuachana nao, hamna cha ujomba au shangazj mbona wa China wapo kila sehemu?
Kwa hiyo hilo pori la Songea na mgodi unataka kilifanyia nini mpaka sasa?Dah inasikitisha mno.... Juzi wamasai wameandamana TBC kama chanel ya taifa " ni mama anapiga mwingi maswala ya nchi ya msingi ahhaaa" leo moshi huko tayari... Bdo kuna lile pori songea kule lina mgodi .. sasa mbona tutabaki hatuna sehemu alooh . Maana dar tayari DP WORLD...Sio muda mbagala ,temeke kurasini kutakuw bandari kavu...
KWa hio ulivyo mjinga kufuta vijiji ni sawa na hata kufuta Nchi siku moja itakuwa sawa? wewe ni wale mmekuja Duniani kumaliza hewa ya Oxygen tu huna maanaKama wameridhia na wakilishi wa wanakijini na viongozi wetu, sioni kama kuna kosa bado tunahitaji wawekezaji ili tupate maendeleo, mambo ya ushabiki tuachana nao, hamna cha ujomba au shangazj mbona wa China wapo kila sehemu?
Usiishie kuweka kichwa cha gazeti. Weka makala nzima ndiyo utajuwa mwandishi alimaanisha nini? BLACK MOVEMENT mtu wa taharukiView attachment 3074597
Jibu lako liko hapo kwenye cycle
Marekani ina reserve ya Mapori yenye madini kubwa kuliko Tanzania, unazania kwa nini hawaharibu Mapori yao? Akili za Wabongo ni za kipekee kabisa Dunia hii.Kwa hiyo hilo pori la Songea na mgodi unataka kilifanyia nini mpaka sasa?
Aione hii Choicevariable ili aendelee kutuita "wajinga tunaleta siasa".Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya.
View attachment 3074593
Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na hii kasi ni kubw awamu ya huyu Mama ambaye yeye haoni shismda kabisa kuuza maeneo kwa Wawekezaji hasa wa kutoka Ujombani kule.
Target ya Mama hadi anatoka Madarakani ni kuuza angalau mkoa mmoja mzima kabisa na raia wake wanauzwa.
Na huo ndio ujinga tusio ona Mbele, Mwisho wa siku tutajikuta maeneo makubwa yote wanamiliki wawekezaji kwa miaka 99, tunashingilia ujinga mkuu, Wabongo ni watu wapumhavu sana kuwahi kutokeaPopulation control ni muhimu sana, maeneo mengi yatazidi kwenda kwa wawekezaji wakubwa kila siku
Taja maeneo hayo yenye madini ya Marekani na aina ya madini yenyewe na soko la madini hayo lilipoMarekani ina reserve ya Mapori yenye madini kubwa kuliko Tanzania, unazania kwa nini hawaharibu Mapori yao? Akili za Wabongo ni za kipekee kabisa Dunia hii.
View attachment 3074598
Wewe na Baba yako umekamata mapori gani mpaka sasa hivi? Yana ukubwa gani?Na huo ndio ujinga tusio ona Mbele, Mwisho wa siku tutajikuta maeneo makubwa yote wanamiliki wawekezaji kwa miaka 99, tunashingilia ujinga mkuu, Wabongo ni watu wapumhavu sana kuwahi kutokea