Wilaya ya Hai kijiji cha Tindigani ndicho chote kapewa Mjomba wa Omani? Hii sio sawa

Na huo ndio ujinga tusio ona Mbele, Mwisho wa siku tutajikuta maeneo makubwa yote wanamiliki wawekezaji kwa miaka 99, tunashingilia ujinga mkuu, Wabongo ni watu wapumhavu sana kuwahi kutokea
Ardhi ambayo ni arable kwa kilimo inayotumika Tanzania ni less than 15% tu. Watanzania wengi wanapenda kujishughulisha na biashara za kimachinga.

Hiyo misitu ambayo imeingia kwenye carbon credit haiwezi kuathiri agricultural production ya nchi yetu.

Binadamu ndivyo mlivyo, hamuwezi kula mavi lakini mnafukuza kuku wasile pia.
 
Watanzania kwa 70% ni wajinga tuna ongozwa na uzalendo wa kipumbavu na majungu, nchi nzima ni mapori watu hawana uwezo hata wa kuanzisha kilimo wengi wanakimbilia mijini kufanya biashara ndogondogo, ni less than 10% ndo wanaweza ku-cultivate heka mbili za kilimo wengi ni vi plot nusu heka na robo.
 
Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya.
View attachment 3074593

Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na hii kasi ni kubw awamu ya huyu Mama ambaye yeye haoni shismda kabisa kuuza maeneo kwa Wawekezaji hasa wa kutoka Ujombani kule.

Target ya Mama hadi anatoka Madarakani ni kuuza angalau mkoa mmoja mzima kabisa na raia wake wanauzwa.
SIONI MAHUSIANO YA JEDWALI NA UHAROOOO ULIOUANDIKA!, HEBU HARISHAA KWA UNDANI ZAIDI,WENGINE UHAROO NDIYO HARUFU PENDWA!, UNATUPA MUNKARI.
 
Watanzania kwa 70% ni wajinga tuna ongozwa na uzalendo wa kipumbavu na majungu, nchi nzima ni mapori watu hawana uwezo hata wa kuanzisha kilimo wengi wanakimbilia mijini kufanya biashara ndogondogo, ni less than 10% ndo wanaweza ku-cultivate heka mbili za kilimo wengi ni vi plot nusu heka na robo.
Wenyewe wanalima kwenye mitandao ya Jamii tu. Wanasahau kuwa mwekezajj akija ana create ajira, analipa kodi, anazalisha bidhaa na kuboresha mazingira
 
Ni upumbavu kufikiria kila mtu anataka au anaweza kulima. Mzaramo aliyezaliwa buguruni atakijulia wapi kilimo??
 
Mkisikia nchi inauzwa ndiyo kwa staili hii sasa, siyo kwamba inapakiwa kwenye ndege wanaondoka nayo, hapana , ni kwamba inauzwa mkiwa ndani mnashangaa mnaambiwa tokeni hapa siyo kwenu tena
Wakati Ndugai anahoji mlimwita sukuma gang sio?

Sasa mumefikiwa, tulieni...

Hii itufundishe kuacha unafiki...

Tabia za kumpinga mtu kisa hatumpendi tuache...
 
Wenyewe wanalima kwenye mitandao ya Jamii tu. Wanasahau kuwa mwekezajj akija ana create ajira, analipa kodi, anazalisha bidhaa na kuboresha mazingira
Muekezaji moja una uwezo wa kuekeza zaid 1bn shilling na kutoa ajira zaidi ya watu 100 kulipa kodi zaidi 300m, wakati kajiji kizima hakiwezi kuchangia sh 10m kwa zahanati ya kijiji, ushuru wao wakilimo haufiki hata 1m kwa mwaka.....hi Tanzania ni ma pori ma pori kila wilaya aridhi inao tumika haizidi 20% manaake 80% haina kazi........ila tuna roho za kichawi umasikini na uzalendo wa kipumbavu sana.
 
Bila ya shaka watoto wa watoto wetu ndio watakao thirika na maamuzi ya viongozi wetu wa leo, pole mno kwao na tunatanguliza kuomba radhi kwao kwa vile tunavyo shindwa kuitetea kesho yao.
 
Muekezaji moja una uwezo wa kuekeza zaid 1bn shilling na kutoa ajira zaidi ya watu 100 kulipa kodi zaidi 300m, wakati kajiji kizima hakiwezi kuchangia sh 10m kwa zahanati ya kijiji, ushuru wao wakilimo haufiki hata 1m kwa mwaka.....hi Tanzania ni ma pori ma pori kila wilaya aridhi inao tumika haizidi 20% manaake 80% haina kazi........ila tuna roho za kichawi umasikini na uzalendo wa kipumbavu sana.
Umewahi kufika sehemu wawekezaji wanachimba madini ukajionea maisha ya jamii zinayoizunguka hiyo migodi?? Hizi hapa unazoandika ni porojo tu. Wawekezaji gani hawajengi viwanda wanataka rasilimali na ardhi tu.
 
Acheni kuomba wa wekezaji rushwa na kuwatisha tisha, maendeleo yata patikana tu, ila kuna wanchi ni masikini ata ufanyeji watakufa na umasikini tu
 
Back
Top Bottom