Ndugai aliwangiza wabunge 19 wasio na chama bungeniWakati Ndugai anahoji mlimwita sukuma gang sio?
Sasa mumefikiwa, tulieni...
Hii itufundishe kuacha unafiki...
Tabia za kumpinga mtu kisa hatumpendi tuache...
Waje wawekezaji wasio wababaishaji, sio wawekezaji wa kuchuma tu.Acheni kuomba wa wekezaji rushwa na kuwatisha tisha, maendeleo yata patikana tu, ila kuna wanchi ni masikini ata ufanyeji watakufa na umasikini tu
Mama, Mkwe ,na Nsumba ntale wako serious sokoni si mchezo.Ukiangalia wilaya ya hai kijiji kizima na vitonoji vyake kakabishiwa Mjomba wa Oman. Huu uwekezaji wa kufuta vijijiipo siku watafuta mkoa mzima na kuwakabidhi wajomba, tuendelee kusapoti ujinga na kuona hayatuhusu haya.
View attachment 3074593
Kasi ya kufuta vijiji na kuwakabidhi maeneo wawekezaji ni kubwa sana, na hii kasi ni kubw awamu ya huyu Mama ambaye yeye haoni shismda kabisa kuuza maeneo kwa Wawekezaji hasa wa kutoka Ujombani kule.
Target ya Mama hadi anatoka Madarakani ni kuuza angalau mkoa mmoja mzima kabisa na raia wake wanauzwa.
Safari ndefu huanza kwa hatua moja. Kama huwezi kuanza na jembe la mkono, utafika mzee wako hadi kufariki ukiwa maskini. Watu kama nyinyi lazima muuzwe kama bidhaaKilimo cha jembe la mkono kama manamba??
Toka hapa, Ingekuwa hivyo Ally Hapi si angeendelea na safari yake ya kulima nyanya na pilipili Iringa.Safari ndefu huanza kwa hatua moja. Kama huwezi kuanza na jembe la mkono, utafika mzee wako hadi kufariki ukiwa maskini. Watu kama nyinyi lazima muuzwe kama bidhaa
Unapata wapi uwezo wa kuzaa ikiwa unaishi bìla kujishughulisha. Bora hata hao watoto usizae kama unasibiri wao ndiyo waje kupasua maporiBila ya shaka watoto wa watoto wetu ndio watakao thirika na maamuzi ya viongozi wetu wa leo, pole mno kwao na tunatanguliza kuomba radhi kwao kwa vile tunavyo shindwa kuitetea kesho yao.
Kwani Ally Happi ameacha kulima? Au unadhani Ally Happi alikuwa anashika jembe. Yeye katengeneza ajira, watu wanalima na anawalipa. Zile picha ilikuwa promo tu.Toka hapa, Ingekuwa hivyo Ally Hapi si angeendelea na safari yake ya kulima nyanya na pilipili Iringa.
Tukiendelea kuchekacheka huko mbeleni watakabidhiwamarinda kutatua.Dah inasikitisha mno.... Juzi wamasai wameandamana TBC kama chanel ya taifa " ni mama anapiga mwingi maswala ya nchi ya msingi ahhaaa" leo moshi huko tayari... Bdo kuna lile pori songea kule lina mgodi .. sasa mbona tutabaki hatuna sehemu alooh . Maana dar tayari DP WORLD...Sio muda mbagala ,temeke kurasini kutakuw bandari kavu...
Where is the injustice here? Usipotoshe vijana jua akili za vijana wa kitanzania ni finywi sana.We need alternative approach to fight this injustice
IgnoreWhere is the injustice here? Usipotoshe vijana jua akili za vijana wa kitanzania ni finywi sana.
Kuna siku moja nilisikia mchumi moja kwenye Radio akiongelea madhara ya kuuza Ardhi, na kukimbilia Boda Boda n.k . Ardhi ndio chanzo cha Maisha yetu , ukiuuza Ardhi wewe Maisha yako yatakuwajeKama wameridhia na wakilishi wa wanakijini na viongozi wetu, sioni kama kuna kosa bado tunahitaji wawekezaji ili tupate maendeleo, mambo ya ushabiki tuachana nao, hamna cha ujomba au shangazj mbona wa China wapo kila sehemu?
Aridhi ndo maisha yetu tukiitumia kuzadhalisha production, lakini ikibaki pori, kama kwasasa Tanzania ilivo haitusaidie kabisa.Kuna siku moja nilisikia mchumi moja kwenye Radio akiongelea madhara ya kuuza Ardhi, na kukimbilia Boda Boda n.k . Ardhi ndio chanzo cha Maisha yetu , ukiuuza Ardhi wewe Maisha yako yatakuwaje
Kwa katiba ipiHatari na nusu... Haya ndio mambo yatakayoamua uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ujao. Hivi watanzania ni nini tunaweza kuendeleza wenyewe?
Sawa , lakini ukiitoa Kwa hiyo faida unayo zungumzia itakuwa ni furaha ya muda, gharama ya kuipata tena, itakuwa 300% ya faida uliyoipata sasa au usiipate kabisaAridhi ndo maisha yetu tukiitumia kuzalusha production, lakini ikibaki pori, kama kwasasa Tanzania ilivo haitusaidie kabisa.
Huna akili weweKama umekalia nchi hufanyi lolote bali unapiga soga na kucheza draft bora uuzwe tu