Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Huko hapana mi siwezi kuishi kabisa..Tanzania yetu ni kubwa sana mkuu.
Itilima ni miongoni mwa wilaya mpya zilizoanzishwa nafikiri mwaka 2019. Kabla ilikuwa ndani ya wilaya ya Bariadi.
Kule sasa ni imani yako tu, ukienda na pigo za Mwamposa uwe umekaza kwelikweli, maana mpaka makanisani utasikia mpaka sauti za waimba kwaya halafu wanakwaya wenyewe usiwaoneππΉ.
πππHuko hapana mi siwezi kuishi kabisa..
An me ni mweupe kabisa kwa hayo mambo aiseee na imani yangu ndogo kabisaaaaa πππ
Kuna kijiji flani kipo iringa kinaitwaje sijui unaambiwa kuna hao wazee wachawi mpaka macho yao yame badilika yamekua ya njano..
An uchawi kule unapimwa kwa rangi ya macho
Macho mekundu... Junior
Macho ya njano.... Certificate
Macho ya blue..... Degree
Macho ya kijivu.... PHD
Huyu wa macho ya kijivu unakuta kijijini yupo mmoja tuu
Sijui madibira sijui wapi huko unaambiwaπππ
Hiyo balaa.
Wilaya gani?
Una maanisha pwani yote ama Mkoa wa Pwani? Sehemu kama Tanga ni mkoa wa 8 kuwa na watu wengi Nchi hii, mkoa mkubwa wenye watu wengi, same kwa Mkoa wa Pwani na Dar kote kuna watu 2m+Pwani kuna idadi ndogo ya watu, Viwanda vingi vya matajiri na bandari.
Haya mambo ya GDP huwa yanakupiga chenga kuyatafsiri kama vile ambavyo huwa yanampiga chenga wakala wa PPP ChoiceVariableUna maanisha pwani yote ama Mkoa wa Pwani? Sehemu kama Tanga ni mkoa wa 8 kuwa na watu wengi Nchi hii, mkoa mkubwa wenye watu wengi, same kwa Mkoa wa Pwani na Dar kote kuna watu 2m+
Lindi na Mtwara hazina watu wengi ndio ila pia ipo mikoa haina watu wengi na bado ipo vibaya, Katavi, Songwe, Manyara, Rukwa etc.
Pia tulishazungumzia issue za viwanda vikubwa na Bandari (Large tax payers) , Mapato yake huwa yanaenda Directly makao makuu, While yanakua Counted kwenye Gdp, ila kwenye Mchango wa mkoa hayapo na wala hayaendelezi mahala husika. Same kwa Madini, Utalii na issue nyengine kubwa, ndio maana mimi ni Muumini mkubwa wa sera ya mbowe ya majimbo.
Pitia huu uzi ulichambua vizuri
Mikoa 13 Kinara wa Kuchangia Kodi ya TRA mwaka 2023
Kutoka kwenye takwimu za Mapato ya Kodi za TRA yaani Regional Tax Statistics za mwaka 2023/2024 zimebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia Mapato makubwa ya Kodi Kwa mwaka 2023. Uchambuzi wa awali nilioufanya umebainisha Mikoa 13 ambayo imechangia zaidi Mapato ya Kodi ya kuanzia Bilioni 60 na...www.jamiiforums.com
So Mchango wa mikoa ya pwani ungekua mkubwa zaidi kama vitu vyake kama hivyo viwanda vikubwa vingekua vinahesabiwa humo humo Mikoani.
Funguka, kama ni maneno ya khanga bora tu usi quote comment yangu maana huja contribute chochote hapo.Haya mambo ya GDP huwa yanakupiga chenga kuyatafsiri kama vile ambavyo huwa yanampiga chenga wakala wa PPP ChoiceVariable
GDP za mikoa zinakokotolewa kutoka KILA biashara au kazi za uchumi zilizoko kwenye mkoa husika, hakuna exemption.Funguka, kama ni maneno ya khanga bora tu usi quote comment yangu maana huja contribute chochote hapo.
Tatizo Wasukuma hamjui mahaba ya kubembeleza kama watu wa pwani, hamtawezenaChakufanya tukaoe kule tuwalete usukumani, wataiga hku kaskazn wataanza kubadlika polepole
Sijakataa Soma Comment yangu vizuri, nimeandika hapo juu "while yanakuwa counted kwenye Gdp kwenye Mchango wa mkoa hayapo" nikimaanisha Mchango wa Mkoa kwenda Makusanyo ya Taifa ya Tra.GDP za mikoa zinakokotolewa kutoka KILA biashara au kazi za uchumi zilizoko kwenye mkoa husika, hakuna exemption.
Inaposemwa watu wa pwani wanapenda umwinyi inamaanishwa wazawa, sio wakina Rostam, Mo, Kusaga, Mengi, Wahindi na Waarabu wachache matajiri. Hata hivyo hilo la kusema wakazi wa Pwani ni masikini kuliko sehemu nyingine ni kijembe tu kisicho na uhalisia.Sijakataa Soma Comment yangu vizuri, nimeandika hapo juu "while yanakuwa counted kwenye Gdp kwenye Mchango wa mkoa hayapo" nikimaanisha Mchango wa Mkoa kwenda Makusanyo ya Taifa ya Tra.
Ukiingia hio link utaona Mtwara, Tanga, Pwani, Dar etc zote zipo juu kwenye Mchango wa Taifa, ukumbuke chain ya hii comment ni kwamba mikoa ya Pwani ni masikini, wanapenda umwinyi na hawana maendeleo, Pwani ina mikoa 5, mikoa miwili ipo top 5 nchi nzima, mikoa 3 ipo top 10 na mikoa 4 ipo top 13,
So Mchango wake ni mkubwa kushinda ukanda wowote ule Tanzania ila watu wanajitoa tu ufahamu na kuendeleza "myth" zao kuhusu mikoa ya Pwani.
Yeah, utawala wa kifalme (sultani) uliacha Ugonjwa wa βmimi kwanza hapa nyumbani β, ndo unaotesa hayo maeneo..
Tatizo wanaishi kwa kupitia vitabu vya dini, bila kupitia historia ya zamani, ndo maana hata useme waarab waliwatesa wa Africa na kuwa hasi korodani, bado Huwezi kuaminika ππView attachment 3315136
Tatizo la wenzetu ni mtazamo walioaminishwa kuwa dini ni uislam pekee, zingine zote siyo dini - kafir, hii dhana aliyeipandikiza hongera sana.
Historia iliandikwa... π π Jina lenyewe ni paulo hassan.Pia huko lilitokea hili,hivi hii iliwezekanaje?View attachment 3315053
Waarabu na wahindi hao uliowataja ni wafanyabiashara wakubwa that's my point, Wanalipa Kodi Direct makao makuu Tra, hivyo viwanda vikubwa kama Tanga cement huwa havihesabiwi kwenye Mchango wa makusanyo ya Mkoa. So kuwataja wao ina maana you didn't get my pointInaposemwa watu wa pwani wanapenda umwinyi inamaanishwa wazawa, sio wakina Rostam, Mo, Kusaga, Mengi, Wahindi na Waarabu wachache matajiri. Hata hivyo hilo la kusema wakazi wa Pwani ni masikini kuliko sehemu nyingine ni kijembe tu kisicho na uhalisia.
Sidhani kama watu wa Pwani ni masikini sana kuliko wengine bongo au wavivu kihivyo ila ni aina ya uchumi tu ambo watu wa bara wamezoea wa kazi ngumu za kulima na kuchimba madini hauko sana Pwani kwa hiyo wakazi wake wanaonekana wavivu au goigoi.
Ndo staili gani ya kuishi ππwanatamani kila Mtu aishi kimbwa mbwa kinguruwe nguruwe
Nipe namba zake nimpe dawaKuna binti nimesoma nae chuo alikuwa anatokea huko, jina lake mwajuma kifupi kibaya km ugoko uliopauka, kilikuwa kinajisikia, kichoyo kina kiburi na roho ya kunguni balaa kitaamka usiku kujisomea na wenzie kinawazuia kuniamsha maajabu kwenye mitihani walikuwa hawanifati hata kwa karibu,
Kilikuwa na fangasi ukeni balaa alikuwa anajimwagia poda kikopo kinaisha ndani ya siku 3 tu,
πππβοΈβοΈ H A P A N A hii niβοΈππAn uchawi kule unapimwa kwa rangi ya macho
Macho mekundu... Junior
Macho ya njano.... Certificate
Macho ya blue..... Degree
Macho ya kijivu.... PHD