Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Kwa hili serikali waliona mbali, hawa watu Aise hapana.. Hata ukienda mgahawani ukiwa mgeni unapewa wali maharagwe,. Ukiulizia samaki wanakwambia wameisha, kumbe wapo. 😁😁
hee! hata wauzaji nao wachoyo? ni ya kwali mnayoongea.
 
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.

. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.

HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.​
​
2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.​
​
3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.​
​
4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia​
​
5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.​
​
6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .​
​
7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.​
​
8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%​
​
9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,​
​
10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.​
​
11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.​
​
12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.​
​
13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.​
​
14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.​
​
15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.​
​
Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.​
No 15 nimecheka sana yaani
 
Inaposemwa watu wa pwani wanapenda umwinyi inamaanishwa wazawa, sio wakina Rostam, Mo, Kusaga, Mengi, Wahindi na Waarabu wachache matajiri. Hata hivyo hilo la kusema wakazi wa Pwani ni masikini kuliko sehemu nyingine ni kijembe tu kisicho na uhalisia.

Sidhani kama watu wa Pwani ni masikini sana kuliko wengine bongo au wavivu kihivyo ila ni aina ya uchumi tu ambo watu wa bara wamezoea wa kazi ngumu za kulima na kuchimba madini hauko sana Pwani kwa hiyo wakazi wake wanaonekana wavivu au goigoi.
Tatizo la watu wa pwani ata wakiwa na pesa wanaishi kimasikini.
 
hee! hata wauzaji nao wachoyo? ni ya kwali mnayoongea.
. Yani wazawa wa huku ni wachoyo, ukiangalia kwa ukaribu zaidi huwa wanapandikizwa chuki, ( haiwezekani vitu wauziane wao kwa wao Alafu mgeni anyimwe so kuna kitu hapo huwa wanaambizana.)
 
Ndo hivyo mkuu, hata ukute wanauziana samaki hapo, utajibiwa tu samaki hawauzwi.. Labda tu upate mpenzi alafu awe anakuibia samaki alafu akuletee nyumbani vinginevyo utakula maharagwe mpaka basi.
Hahahaha ha.. Mkuu hii mie haikunikuta mbona.. Nilikaa 2 years.. Sema kilichonitoa ni kuona kuwa I don't see my future.. Yaani kukaa kutegemea mshahara tu ni ngumu.. Ilikuwa 2017 hukooo
 
Hahahaha ha.. Mkuu hii mie haikunikuta mbona.. Nilikaa 2 years.. Sema kilichonitoa ni kuona kuwa I don't see my future.. Yaani kukaa kutegemea mshahara tu ni ngumu.. Ilikuwa 2017 hukooo
Kama we ni ke, utakuwa ulimshika maskio mvuvi siyo bure 😁😁😁, maana siyo tabu ya mboga tunayoipata huku.
 
Kama we ni ke, utakuwa ulimshika maskio mvuvi siyo bure 😁😁😁, maana siyo tabu ya mboga tunayoipata huku.
Hakuna.. Halafu nilikuwa nakaa karibu na beach kule kwenye nyumba za halmashauri, so ilikuwa ndio njia yao wakitoka baharini kwa upande wa kuhusu hospital ilipo.. So nilikuwa napata tu.. Eeh nimemiss samaki aisee..

Hivi hapo kwa Carlos bado kupo active?
 
Hakuna.. Halafu nilikuwa nakaa karibu na beach kule kwenye nyumba za halmashauri, so ilikuwa ndio njia yao wakitoka baharini kwa upande wa kuhusu hospital ilipo.. So nilikuwa napata tu.. Eeh nimemiss samaki aisee..

Hivi hapo kwa Carlos bado kupo active?
. Nyumba za halmashauri karibu na chicho au hotel ya katasi ??..
 
Back
Top Bottom