Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

. Sema umeandika notes ndefu lakini sijaelewa ulichokiandika zaidi ya kuita wana jf ni vilaza....

. Kwa hiyo ulivyo fika kilindoni/kigamboni ukaelekea wapi na wapi??, au uliletwa kilindoni na ukaludishwa bara siku hiyo hiyo ?? 🤔 🤔
Sio UKALUDISHWA, bali UKARUDISHWA! Narudia, wewe ni MUONGO! Nishafika si mara moja wala mara mbili maeneo mbalimbali ya mafia kuanzia mitaa ya pale mjini kama vile Dongo, Kichanguchui, Ismailia, na mengine hadi vijijini kama vile Bweni kwa akina Ramadhani Dau, kushuka Kanga, Bweni, Baleni, kwa upande wa kaskazini hadi Utende na Chole kule kote nimevuruga, bila kusahau Bwejuu na Jibondo ambavyo ni visiwa ndani ya visiwa kama ilivyo Chole bila kusahau kwenye mashamba ya kamba ambayo ndo kazi iliyokuwa imenipeleka huko kupitia Alphakrust! WEWE MUONGO!

Isitoshe, hata hao samaki Mafia walianza kupata soko baada ya kuja kampuni ndugu ya Alphakrust inayoitwa TANPESCA wao ndo wakawa wana-deal na samaki na Alphakrust (b4 nilikuwa Chang'ombe/Nyerere Rd) waki-deal na kamba lakini kabla ya hapo samaki wala hawakuwa na thamani ya kufanya eti migahawa ibanie samaki kwa wageni! Na kuonesha wewe muongo ni hapo ulipodai eti Kimbau hana nyumba wakati alikuwa anamiliki bonge la hotel ambayo ilikuwa ni next kwa ubora ukitoa zile za Utende na Chole zinazomilikiwa na Wazungu!
 
N wabinafsi sana kuna mtu kutoka mafia nafahamiana nae, 90% ya yaliyosemwa anayo.
Ndo matatizo yenu wabongo! Yaani kuna mtu unafahamiana nae anayetoka Mafia ndo tayari unadhani unaijua Mafia kwa sababu ya mtu mmoja unayemfahamu?! Mimi nilienda Mafia na mwanangu mmoja kwenye kampuni moja inayojihusisha na masuala ya marine exports. Moja ya mambo ambayo nitayajutia kuna kipindi serikali walikuwa wanauza viwanja mie nikavipotezea kwa kuona "nitaishi vipi kwenye kamji kadogo kama haka"! Yule mwanangu ambae nilienda nae nilimwacha kule kule, na kazi akapiga chini akaanza maisha kwa kufungua baa na hapa ninaposema anamiliki guest house huko huko!! Hiyo ndo sehemu ambayo huyo anawadanganya Wageni wanachukiwa! Tena kwa mara ya kwanza nilienda Mafia kabla hajapakuwa na mwingiliano mkubwa wa watu; seuze hivi sasa ambapo zaidi ya nusu ya wakazi ni wenyeji wa bara?!
 
hee! hata wauzaji nao wachoyo? ni ya kwali mnayoongea.
Shangaa wewe sasa! Sasa mtu unauza chakula na samaki lakini ukiona mgeni hutaki kutoa samaki! Hivi inaingia akilini! Huyo Mzee Kimbau anayesema hana nyumba ikabidi JK afikie msikitini, kwa wakati huo alikuwa na hotel kubwa tu ikiitwa Habor View Hotel ambayo ilikuwa ufukweni! Na hata kama kweli ingekuwa Kimbau hana nyumba, hivi kweli inaingia akilini Kikwete akose pa kufikia na badala yake afikie Msikitini wakati Mafia pande za Utende ni Tourist Circuit yenye hoteli za kitalii?! In short, huyu Nyafwili ni MUONGO!!
 
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.

. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua jambo moja la kusikitisha – watu wengi hapa wamejengeka katika mfumo wa uchoyo na ubinafsi wa hali ya juu.

HIZI NI TABIA ZA WATU WA WILAYA YA MAFIA
1. Ushirikiana wa hali ya juu, na ukipigwa kitu kizito huku yakupasa uludi bara moja kwa moja ili kupangua mashambulizi.​
​
2. Ni wilaya yenye samaki wengi sana lakini kama siyo mzawa wa Mafia utawasikia kwenye taarifa ya habari maana ni wachoya haswa, mafia ni wilaya ambayo unaweza kuwa na million mfukoni lakini ukalala na njaa.​
​
3. Wageni wote kutoka bara huitwa MBWA, hii ilihubiriwa na misikiti fulani hapa Mafia kipindi cha nyuma kidogo.​
​
4. Kama ni mtumishi wa serikalii, moja kwa moja unawekewa uadui na wenyeji, maana hawataki kabisa watu wageni kuja kufanya kazi Mafia​
​
5. Ni watu wenye tabia ya kuwabambikizia kesi watu wageni ( kesi ya kwanza (i) kufanya ngono na wanafunzi, (ii) kutembea na mke wa mtu, (iii) wakishindwa pande zote tajwa hapo juu, wanahamia kwenye tabia namba moja.​
​
6. Kama ni mgeni sahau kupata ardhi ya kujenga, vinginevyo wawe wamekupenda kutoka rohoni mwao na umejadiliwa kwa miaka kadhaa midomoni mwao kuwa unafaa kuuziwa ardhi au laa! .​
​
7. Ukifika mara ya kwanza, lazima utajulikana kuwa wewe ni mgeni maana idadi ya watu ni chache sana, hivyo hata Ukifanya kosa linasambaa mpaka kwa viongozi wa juu.​
​
8. Milango ya nyumba haifungwi na kufuri maana wanaamini kila mtu aliepo mafia ni mchawi, hivyo usalama ni asilimia 100000%​
​
9. Maduka hufunguliwa kuazia mida ya Saa nne asubuhi kwa sababu ya Uvivu walionao,​
​
10. Ukiachana na uvuaji wa samaki na dagaa, Kilimo chao ni mchele kiasi, njugu na nyanya kidogo, vitu vingine vyote vinatoka bara.​
​
11. Kuna baadhi ya vijiji wanaamini duniani kuna dini moja tu ambayo ni Uislam.​
​
12. Ni wilaya ambayo ina kilometers chache za lami sidhani kama hata 200 zinafika, na usafiri mkubwa kwa wale ambao hawana usafiri wao ni boda boda. Maana magari ya abiria sidhani kama yanafika 8.​
​
13. Vijana na wazee wa mafia wanapata hela nyingi sana kwenye uuzaji wa samaki lakini nyumba zao zimeezekwa na makuti, huku hela zao zikiwa zimabaki tu mifukoni bila matumizi yoyote yale.​
​
14. Mafia ni wilaya yenye ukosefu wa starehe za kidunia ( wadada kutoka bara Sasa wamegundua chimbo, maana naona wanakuja kwa kasi sana kutoa huduma ya utelezi wilayani mafia.​
​
15. Mafia ni wilaya ambayo iliwahi kumiliki mbunge mjinga zaidi "Ndugu KIMBAU" alikaa kwenye ubunge mda mrefu bila hata kujenga nyumba ya kuishi, Rais mustaafu KIKWETE Alivyoenda mafia aliomba aende kumtembelea mbunge huyo nyumbani kwake, mbunge kwa vile alikuwa hana nyumba aliamua kumpeleka Rais msikitini.​
​
Hii ndo wilaya ya Mafia na viunga vyake.​
Uislam umewachanganya akili sana hawa watu, yaani sheikh na imam ndiyo watu muhimu kule shinda hata rais au mkuu wa Wilaya. Ukila mara tatu kwa siku na majirani wakajuwa hivyo, basi utasomewa kisomo ili uchukie kula. Yaani wana ujinga kama Wazanzibari vile, kufanya kazi kwao ni haram na kula pia kwao ni haram..
 
Shangaa wewe sasa! Sasa mtu unauza chakula na samaki lakini ukiona mgeni hutaki kutoa samaki! Hivi inaingia akilini! Huyo Mzee Kimbau anayesema hana nyumba ikabidi JK afikie msikitini, kwa wakati huo alikuwa na hotel kubwa tu ikiitwa Habor View Hotel ambayo ilikuwa ufukweni! Na hata kama kweli ingekuwa Kimbau hana nyumba, hivi kweli inaingia akilini Kikwete akose pa kufikia na badala yake afikie Msikitini wakati Mafia pande za Utende ni Tourist Circuit yenye hoteli za kitalii?! In short, huyu Nyafwili ni MUONGO!!
Tutajie hizo hoteli za Mafia
 
Tena sio muongo tu bali pia ni chizi!
 
Ndo hivyo mkuu, hata ukute wanauziana samaki hapo, utajibiwa tu samaki hawauzwi.. Labda tu upate mpenzi alafu awe anakuibia samaki alafu akuletee nyumbani vinginevyo utakula maharagwe mpaka basi.
Mkuu mimi bro wangu alishawahi kufanya kazi Mafia. Sasa unaposema hawauzii wakuja samaki mbona yeye alikuwa akituma mzigo wa samaki kupitia Coastal aviation kuja Dar?
 
Kwa hili serikali waliona mbali, hawa watu Aise hapana.. Hata ukienda mgahawani ukiwa mgeni unapewa wali maharagwe,. Ukiulizia samaki wanakwambia wameisha, kumbe wapo. 😁😁
Utaikuta anauza nazi na anazo nazi kumi hapo mezani pale. Ukimwambia unataka kununua zote anakukatalia, kisa je atakwenda wapi muda wote uliosalia hadi ifike jioni?
 
Tutajie hizo hoteli za Mafia
Ni kwamba una mashaka ikiwa kweli zipo, au?! Au kwavile umeamini aliyoongea huyo kiumbe?! Sio issue lakini nikisema mimi utasema nadanganya lakini hizi ni chache tu kutoka bookings.com
Hotels.jpg

Tena niweke kumbukumbu sawa, na yeyote anaeifahamu Mafia atakubaliana na mimi! Hapo juu, hotel ya 2 na 3 zinaonesha zipo Kilindoni lakini kwa Mafia Kilindoni sio sehemu zenye hotel mzuri kwa sababu ingekuwa Dar, Kilindoni labda ni kama Kariakoo (sio kwa kujengeka). Hotel za maana zipo Utende sawa na hiyo ya kwanza hapo juu.
 
Attachments

  • Hotels.jpg
    Hotels.jpg
    351.4 KB · Views: 27
Uislam umewachanganya akili sana hawa watu, yaani sheikh na imam ndiyo watu muhimu kule shinda hata rais au mkuu wa Wilaya. Ukila mara tatu kwa siku na majirani wakajuwa hivyo, basi utasomewa kisomo ili uchukie kula. Yaani wana ujinga kama Wazanzibari vile, kufanya kazi kwao ni haram na kula pia kwao ni haram..
Acha kusikiliza porojo! Tatizo kubwa la Mafia ni elimu lakini tatizo hilo halitokani na Uislamu wao bali mazingira kwa sababu walimu kutoka bara walikuwa hawaendi, na moja ya changamoto kubwa ilikuwa usafiri kwa sababu kama huna pesa ya kuchukua flight basi ukapande mashua na boti za uongo na ukweli ambazo kwa sababu tu zimewekwa mashine ya yamaha ndo wanaita boti! Nakumbuka miaka ya nyuma kuliibuka mvutano mkali bungeni kuhusu walimu waliokutwa Mafia ni wale ambao wengine walikuwa na zero kabisa Form IV. Mbunge wa Mafia akasema waletewe basi hao wenye Div 1 na watafurahi sana lakini kwavile wakipelekwa hawaendi wakaamua kuokoteza okoteza tu vijana waliosoma pale pale bila kujali wamepata div gani, wakawapeleka chuo cha ualimu. Sasa hapo watoto wakifeli ndo useme Uislamu?!
 
Ukiendeleza na kusaidia wilaya au mikoa ilioko visaiwani kupata maendeleo ya watu na vitu utapata tabu sanaa, soon wana anza kudai kujitenga kufanya nchi yao kwasbb tayari mipaka wanao, CCM hilo inalijua vizuri ndo maana mafia pemba Ukelewe nk bado ni duni kimaendeleo na elimu iko chini sanaa, kwasbabu za politics
Umeitaja ukerewe kimakosa au umemaanisha.
 
Ni kwamba una mashaka ikiwa kweli zipo, au?! Au kwavile umeamini aliyoongea huyo kiumbe?! Sio issue lakini nikisema mimi utasema nadanganya lakini hizi ni chache tu kutoka bookings.com
View attachment 3317820
Tena niweke kumbukumbu sawa, na yeyote anaeifahamu Mafia atakubaliana na mimi! Hapo juu, hotel ya 2 na 3 zinaonesha zipo Kilindoni lakini kwa Mafia Kilindoni sio sehemu zenye hotel mzuri kwa sababu ingekuwa Dar, Kilindoni labda ni kama Kariakoo (sio kwa kujengeka). Hotel za maana zipo Utende sawa na hiyo ya kwanza hapo juu.
Ahsante sana mkuu.
 
Acha kusikiliza porojo! Tatizo kubwa la Mafia ni elimu lakini tatizo hilo halitokani na Uislamu wao bali mazingira kwa sababu walimu kutoka bara walikuwa hawaendi, na moja ya changamoto kubwa ilikuwa usafiri kwa sababu kama huna pesa ya kuchukua flight basi ukapande mashua na boti za uongo na ukweli ambazo kwa sababu tu zimewekwa mashine ya yamaha ndo wanaita boti! Nakumbuka miaka ya nyuma kuliibuka mvutano mkali bungeni kuhusu walimu waliokutwa Mafia ni wale ambao wengine walikuwa na zero kabisa Form IV. Mbunge wa Mafia akasema waletewe basi hao wenye Div 1 na watafurahi sana lakini kwavile wakipelekwa hawaendi wakaamua kuokoteza okoteza tu vijana waliosoma pale pale bila kujali wamepata div gani, wakawapeleka chuo cha ualimu. Sasa hapo watoto wakifeli ndo useme Uislamu?!
Walimu hawataki kwenda kule kwa sababu watoto hawataki shule na wazazi hawaoni umuhimu wa shule au kwa watoto wao kusoma. Kwao kwenda madrasa ni muhimu zaidi ya kwenda shule kuliko kusoma na kupata elimu ya ushindani maishani.
 
Mkuu, sio kweli! Kwanza hebu tuwe objective kidogo! Hivi kweli Mwalimu anaweza kukataa kwenda mahali eti kisa watoto hawataki shule? SERIOUS? Unazungumzia Walimu wa Enzi za Nyerere au hawa hawa ambao hata hizo shule ambazo wanafunzi wanajazana hadi kwenye dari bado unakuta walimu wanakacha vipindi?

Binafsi as a Social Researcher nimezunguka sana TZ, hususani remote areas. Matatizo ya kielimu Mafia ni yale yale ya TZ yote. Na katika kuzunguka zunguka kwangu nikaja kugundua hata hili suala la madrasa tunalikuza sana hapa JF lakini uhalisia ni tofauti! Kwa upande wangu nimeishi na Jamii ya Kisomali; sasa wale ukisema wanazingatia sana madrasa ni kweli na mara nyingi madrasa zao hawataki watoto wa Kiswahili!

Kuhusu Mafia, nenda hata leo! Shule zao za sekondari unakuta Form IV wanamaliza between 150 to 200. Sasa kama watoto hawataki shule, hao wanafunzi 150+ kwa darasa moja wanatoka wapi?! Kwa sie tunaotoka Kanda ya Ziwa wanafunzi 150 hadi 200 ni wachache sana kwa sababu kukuta kata ina population ya 20K ni kawaida. Kwa Mafia, kata mzima unakuta ina population ya watu 3000 au 4000!
 
Duh! Kuna kazj Moja nilikua naiomba ipo based in Kilwa to Mafia, sasa katika kufanya research nagundua hua inatangazwa mara nyingi, like every after 1/2 years

Probably watu wanashindwa kuishi na hizi jamii
 
Back
Top Bottom