TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Hahaha haha.. Mkuu mwishowe unijue bure. Nyumba za halmashauri karibu na chicho au hotel ya katasi ??..
Hahaha haha.. Mkuu mwishowe unijue bure. Nyumba za halmashauri karibu na chicho au hotel ya katasi ??..
Kasamehe aisee.Kuna binti nimesoma nae chuo alikuwa anatokea huko, jina lake mwajuma kifupi kibaya km ugoko uliopauka, kilikuwa kinajisikia, kichoyo kina kiburi na roho ya kunguni balaa kitaamka usiku kujisomea na wenzie kinawazuia kuniamsha maajabu kwenye mitihani walikuwa hawanifati hata kwa karibu,
Kilikuwa na fangasi ukeni balaa alikuwa anajimwagia poda kikopo kinaisha ndani ya siku 3 tu,
Hata msihangaike hivyo kesho njoo pale kkkt usharika wa temboni ibada ya kwanzaBado tunaendelea kukutafuta kaa kwa kujificha la si hvyo jua sisi na wewe....
🙌🙌🙌
Utajua nini maana ya ilm dunya 😂😂😂😂😂😂
Huko nliwekeza kwenye biashara za jongoo bahari+mpaka kuwa na boti zanguHuyo simpati mkuu...
Kale mbegu mbaya aiseeKasamehe aisee.
UNashangaaa kalivyofika mafia kameolewa.
Nakuja na mmafya wangu...Hata msihangaike hivyo kesho njoo pale kkkt usharika wa temboni ibada ya kwanza
Aaah punguzeni uchawi 😅😅Nakuja na mmafya wangu...
Sio kwa kutusema hvi aiseeee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Huko samaki ndiyo kwake....na pweza pia wako wa kumwaga.Hakuna.. Halafu nilikuwa nakaa karibu na beach kule kwenye nyumba za halmashauri, so ilikuwa ndio njia yao wakitoka baharini kwa upande wa kuhusu hospital ilipo.. So nilikuwa napata tu.. Eeh nimemiss samaki aisee..
Hivi hapo kwa Carlos bado kupo active?
Uchawi wa kawaida tuu.....Aaah punguzeni uchawi 😅😅
. Ilikuwaje mpaka ukadondokea pua mkuu 🥶🥶🥶🥶. 🤕🤕🤕Huko nliwekeza kwenye biashara za jongoo bahari+mpaka kuwa na boti zangu
Soko nlikuwa nalo kubwa la wachina dar ila mziki nliyokuja kutana nao huko+loss Acha tu
Angekuwa mtu legelege nahs angejinyonga 😄
Hivi mv potwe na jubini bado zinapiga kazi huko kutokea nyamisati
Ova
Wanashida gani hao wakwere? Unaweza kututajia japo kadhaaRuvu na viunga vyake 😁😁
Ishi nae kwa password ile kuvuka maji huwa inawajengea roho ngumu kiaina watu wa visiwani hata ukerewe ni hivyo hivyo tuUchawi wa kawaida tuu.....
Alafu watu hawajui ku deal na wachawi wee ishi nao kwa kuwasifia tuu kuwa wao noma..
Mimi mwenza wangu ni mtu wa mafia na huyo ndo aliyeniletea first born wangu..
Huyu hana tabia za ajabu sijui labda kwa kuwa ajakaa sana mafia
Jongoo zenye pesa haziokotwi. Ilikuwaje mpaka ukadondokea pua mkuu 🥶🥶🥶🥶. 🤕🤕🤕
. Nimeona kuna jamaa huku wanakusanya "vimekaa muundo kama wa crips hivi wanaviokota baharini," jamaa aliniambia vina hela sana na akaenda mbali zaidi kuwa ukijaza lita mbili, mchina ananua kwa laki mbiliii 😳😳,
. Sasa hivi majahazi yapo ya kutosha mkuu, niliona hiyo mv potwe tu, hilo lingine sijaliona bado.
Walikufanye kwani? fungukeni jamaniWakwere puuuuh hata kuwasikia sitaki
Ikawaje?Nilinunua kiwanja chalinze puuuh wale ni mbwaaa
Aiseeeeee, pole sana mkuu 🙏 🙏.. Au hairuhusiwi kuwavuna jongoo wa Aina hiyo??Jongoo zenye pesa haziokotwi
Hizo ni za bei cheese
Jongoo zenye pesa ni kama spinyo,barangu nk na kuwapata hao lazkma uende deep baharini
Wakati ule kg 1xilikuwa inakwenda 65,000/
Baharini lazima uwe na madivers
Kwenye boti
Hasara ilitokeaga huko kulifanyika operation mpk watu wa navy ndani...vyombo vilikamatwa,watu ilikuwa mshikeshike jazz band
Ova
Mkuu mimi naogopa maji we acha tuu yaani yaani aaaah ila sawa nimekuelewa snaaIshi nae kwa password ile kuvuka maji huwa inawajengea roho ngumu kiaina watu wa visiwani hata ukerewe ni hivyo hivyo tu
Kweli kabisa bei Chee na wapo wa kila aina mkuu.. Sema mie sikupapenda kabisa niliishi kama nipo gerezani.Huko samaki ndiyo kwake....na pweza pia wako wa kumwaga.
Ila mafia nlitokea kupachukia gafla,kule kulikuwa kulikuwa na nafasi nyingi za wote kutengeneza hela .... sema watu tu huko wanakata stimu
Ova