Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Wanaofuata Mila za kiarabu
 
Mkuu, hivi hii mbina huwa haiwaathiri wasio wachawi wanaokuwa wanawatazama?
 
Nataka niende huko siku moja pamoja na uchoyo wao, vipi kuna hotel nzuri za kiwango cha uchumi himilivu (sio zile za kitalii)....naingia siku moja nashangaa shangaa keshokutwa yake nasepa
Hazipo mkuu, huku zipo lodge za kitalii tu ambazo zimejengwa pembezoni, na lodge za pale mjini kilindoni-kigamboni,
 
Wanatokea Pakistan, eneo linaitwa Balochistan. Walifikaje Bongo sijui vizuri ila kuna wakati enzi za Mkapa nadhani serikali iliamua kufuatilia kuweka sawa ishu ya uraia wao, ni kama waliingia nchini illegally wakazaliana kwa kasi kwenye maeneo mbalimbali walikotia kambi.
 
Vipi maisha maeneo ya ufukweni unaweza kutoka out ukaogelea na bikini? Na je beach zao zikoje, white sand na blue ocean au ni mwendo wa kelele na hekaheka za wavuvi?
 
Hiyo sio haki serikali ilicho fanya, kwasbb ikawanyima elimu bora ili iweze kuwatawala, jamii iasio kua na elimu ni lazima iwe na fikra za uchawi.
Ndo ipo hivyo mkuu, mtu ukinyimwa elimu, unapoteza dira kabisa hasa kwenye maendeleo. ( ukiwaangalia kwa jicho pevu unaona kabisa,hawa watu hawataki uwepo wa shule, pia hawataki uwepo wa hospital) πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…