Wilaya ya Mafia ina watu wachoyo na wabinafsi kuliko maeneo mengine

Duh, that's too bad. Mtu aingie jela 30 kizembe kabisa hiyo sehemu siyo kabisa
 
Hizi ni tabia za sehemu za pwani kote



Tanzania,sehemu yenye uislamu mwingi inakuwa na sifa za m.umaskini,ujinga,ubinafsi,na udini
Mda wote wanaamini Uislam ndo dini ya haki, mda wote wanamini dini ni bora zaidi kuliko elimu ( elimu ikikosekana ndo masuala ya unafiki, udini, ujinga na umaskini kupamba moto..)
 
inawezekana waliaminishwa watazama muda wowote ule ,wasijenge nyumba imara
Mawazo finyu tu, maana kuna kipindi alipita kimbunga hidaya, akafumua vinyumba vya makuti vyote, hao hao wakaaza kulaumu serikali kuwa haiwasaidii sehemu ya kuishi.
 
Unawaone tu. Kama ungekuwa umewahi kutembelea nchi nzima ya mbeba maono, ungeona anavyobeba maangamizi na si maono kama anavyodanganywa na machawa wake.
Nimeishi Tanga, shinyanga, dodoma, Tabora, Dsm, Iringa, Mbeya, marogoro, mwanza, lakini hii tabia sijawahi kutana nayo ya watu wa mafia
 
Kuna binti nimesoma nae chuo alikuwa anatokea huko, jina lake mwajuma kifupi kibaya km ugoko uliopauka, kilikuwa kinajisikia, kichoyo kina kiburi na roho ya kunguni balaa kitaamka usiku kujisomea na wenzie kinawazuia kuniamsha maajabu kwenye mitihani walikuwa hawanifati hata kwa karibu,

Kilikuwa na fangasi ukeni balaa alikuwa anajimwagia poda kikopo kinaisha ndani ya siku 3 tu,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Wana roho ya korosho balaa, ila mtu ukimusimulia anaona kama unaongopa.
 
Mengi ni uongo na chuki iliokujaa,ulitakiwa kusema serikali imeitupa Mafia sio huo unaafiki wako,Mafia wamejaa wasukuma ni wafanyakazi wa kulima mashamba na kuchimbua visiki,Nazi asilimia 90 zinatoka Mafia,Mahotele yapo mengi tu kama ungepanda ndege ungeona namba ya wazungu wanaotembelea Mafia,kuna wazungu wengi wana majumba Mafia,na wanaishi,sehemu gani ulitaka kununua kiwanja wakakunyima? Watu wake waaminifu hawauwani kama ilivo mikowani Mahindi tu mtu anamuuwa Mkewe au Zeluzelu kuuliwa Pwani imestaarabika ukiwa mshenzi mshenzi lazima uone tofauti, itaendelea kuwa hivo kaa kwenu. Nenda Japan uone namna wanavoishi,huwezi ongea na simu kwenye Bus au Train,huwezi kura ukiwa unatembea kama ilovo nchi za western, huwezi mpa bahashishi mhudumu Restaurant kama western. So kila watu na mazingira yao,mbona wamafia hawaji kujazana huko kwenu?
 
Mawazo finyu tu, maana kuna kipindi alipita kimbunga hidaya, akafumua vinyumba vya makuti vyote, hao hao wakaaza kulaumu serikali kuwa haiwasaidii sehemu ya kuishi.
basi wahamishwe isiwe wilaya ,kwanza wawafute wilaya inakuaje na watu 6000
 
Aiseh...?
Kumbe Mafya ni Nchi Nzuri?
Vipi Makanisa yapo?
Wakristo wana abudu kwa uhuru ?

Hivi ni Kweli Kitimoto inauzwa 18,500/= kwa kilo?
Maana mimi Kitimota ndio chakula changu pendwa:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…