Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Hela zilikuwa zake au kodi zetu ?.Huyu Mzee ndo ameifanya wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu.
Lami imefika kifula, imefika usangi wenzetu wako poaKuna lami siku hizi huko? manake nishafika ugweno na usangi kulikuwa na kalami kidogo pale usangi kuelekea nyumbani kwa msuya .
Naomba kujua kutoka mwanga mjini hadi pale kikweni kuna lami?
Kutoka kikweni hadi kifula kuna lami?
Kutoka kikweni hadi usangi kuna lami?
Kwa mtazamo wangu mwanga ni wilaya iliyozubaa sana hata mwanga mjini ni pa hovyo tu.
Same mjini pamechangamka kulipo mwanga mjini
Full carpet ya lami mkuu. Mwamba aliiendeleza MwangaKuna lami siku hizi huko? manake nishafika ugweno na usangi kulikuwa na kalami kidogo pale usangi kuelekea nyumbani kwa msuya .
Naomba kujua kutoka mwanga mjini hadi pale kikweni kuna lami?
Kutoka kikweni hadi kifula kuna lami?
Kutoka kikweni hadi usangi kuna lami?
Kwa mtazamo wangu mwanga ni wilaya iliyozubaa sana hata mwanga mjini ni pa hovyo tu.
Same mjini pamechangamka kulipo mwanga mjini
Mume wako alipofariki dunia ilisimama?Huyu Mzee ndo ameifanya wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu.
Ruangwa je.!Acha uongo lami imewekwa lini?
Nilienda huko huyo msuya alishastaafu kulikuwa hakuna hiyo lami,
Isipokuwa pale siui morogoro stood sijui kulikuwa na kalami kuelekea kwake
Ndio mambo ya NJUWENI bila shakaUmesahu kuiweka na Kibaha kwenye list yako. Wapare walipelekwa Kibaha na huyu mzee, akili nyingi sana mtu yule
Ni haki yenu alijitahidi kuwapa upendeleo hasa kila eneo kuanzia ajira,,vyeo taasisi mbalimbali, umeme hadi porini,simu hadi maporini huko kwa gharama za watanzania wengine walipa kodi ili kwenu kuwe juu pamoja na ubahili wenu wa kulipa kodiHuyu Mzee ndo ameifanya wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu. Tujipange kuanzia KIA
Who cares?Ni haki yenu alijitahidi kuwapa upendeleo hasa kila eneo kuanzia ajira,umeme hadi porini,simu hadi maporini huko kwa gharama za watanzania wengine walipa kodi ili kwenu kuwe juu pamoja na ubahili wenu wa kulipa kodi
Ndo maana wachaga wanalalamikaga wilaya za wa wapare zitolewe kwenye mkoa wa kilimanjaro, aidha zimegwe ziwe mkoa au waungane na Tanga kabisa maana huko ndo wanafanana nao,,,,Upareni ukiingia hali mbaya sio kama maeneo mengine ya mkoa wa kilimanjaro jamaa wapo kama mikoa ya pwani huku kama ndugu zao wa karibu Tanga,,,,hawa jamaa wameathirika sana na watu wa ukanda wa pwani kuliko wenzao wa kaskaziniKuna lami siku hizi huko? manake nishafika ugweno na usangi kulikuwa na kalami kidogo pale usangi kuelekea nyumbani kwa msuya .
Naomba kujua kutoka mwanga mjini hadi pale kikweni kuna lami?
Kutoka kikweni hadi kifula kuna lami?
Kutoka kikweni hadi usangi kuna lami?
Kwa mtazamo wangu mwanga ni wilaya iliyozubaa sana hata mwanga mjini ni pa hovyo tu.
Same mjini pamechangamka kulipo mwanga mjini
Kwani hao sio watanzania mkuu πππNi haki yenu alijitahidi kuwapa upendeleo hasa kila eneo kuanzia ajira,,vyeo taasisi mbalimbali, umeme hadi porini,simu hadi maporini huko kwa gharama za watanzania wengine walipa kodi ili kwenu kuwe juu pamoja na ubahili wenu wa kulipa kodi
Magufuli aliposhika hiyo biashara ikafaWho cares?
Two wrongs dont make a rightKwani hao sio watanzania mkuu πππ
Mbona wengine wameweka Hadi mataa za kuvusha punda wa mizigo mkuu
Kaka hivi unaota ama?Wamezubaa?Kwenye nyumba 10 kati yake 8 zina maji.Umeme ndo kabisaa.Unajua kitu kinaitwa Msaragambo?Kule tokea enzi hizo hawangoji wanasiasa au serikali iwafanyie maendeleo ....wao wanafanya serikali itawakuta mbelembele.Kwa uongo ulio uongea hapa...yani wewe ndio mpwani mwenyewe.Ndo maana wachaga wanalalamikaga wilaya za wa wapare zitolewe kwenye mkoa wa kilimanjaro, aidha zimegwe ziwe mkoa au waungane na Tanga kabisa maana huko ndo wanafanana nao,,,,Upareni ukiingia hali mbaya sio kama maeneo mengine ya mkoa wa kilimanjaro jamaa wapo kama mikoa ya pwani huku kama ndugu zao wa karibu Tanga,,,,hawa jamaa wameathirika sana na watu wa ukanda wa pwani kuliko wenzao wa kaskazini