imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Picha tafadhali
Picha tafadhali
Kila mtu atabeba msalaba wake, aliwahi sema mwendazake na watu wengi wakatoa mapovu, akaja mzee Mzee wa Mtera nae akasema waende kuzimu wakati wa shida ya usafiri wa treni...1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote.
2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge University kumuenzi na kuiita jina lake.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu. Tujipange kuanzia KIA-Mwanga hadi Milimani kwa Mzee.
NB: kwa wageni UKIMWI NI mwingi hapa wilayani chukueni tahadhari Dada zetu hawajui kukataa.
Mzee Msuya aliteleza kutoa kauli hiyo. Na kuteleza huko ni kudhihirisha kuwa hakuwa malaika, bali ni binadamu kama wengine. Katika mambo ambayo tunapaswa kumsamehe ni hilo tukio la kuteleza katika kauli yake. Sasa ukiacha hayo C.D Msuya atabaki kuwa ndiye " baba " wa mageuzi ya uchumi hapa Tanzania. Ndiye aliyekuwa msaidizi mkuu wa Raisi Ally Hassan Mwinyi katika kuikwamua nchi masuala ya fedha, uchumi, na mipango, wakati nchi ilipokuwa katika hali mbaya ya uchumi kuliko kipindi chochote kile cha uhuru wetu.Kila mtu atabeba msalaba wake, aliwahi sema mwendazake na watu wengi wakatoa mapovu, akaja mzee Mzee wa Mtera nae akasema waende kuzimu wakati wa shida ya usafiri wa treni...
Wapare wanapenda kujiweka karibu na wachaga huku wachaga ni tofauti,,,ni wachaga wachache wanaotakaga ukaribu na mpare labda kama ana jambo lenye manufaa kwake ila kama hana jamaa wanawachukulia wapare kama watu fulani wa class ya chiniWapare ndio jamii isiyowahofia Wachagga. Makabila mengi hapa Tanzania ama yanawaogopa, au kuwaonea gele Wachagga. Lakini Mpare akiona mahali pana Mchagga ndio anahamasika kwenda kutafuta maisha na kupambana naye.
Na Wapare wanapenda uwachukulie kwa dharau ili uzubae wakunyoroshe. Wapare na Wasomali ndio wasiowahofia Wachagga tangu zamani. Siku hizi wameongezeka Wakinga hawaogopi Mchagga.🤣Wapare wanapenda kujiweka karibu na wachaga huku wachaga ni tofauti,,,ni wachaga wachache wanaotakaga ukaribu na mpare labda kama ana jambo lenye manufaa kwake ila kama hana jamaa wanawachukulia wapare kama watu fulani wa class ya chini
Acha kudhalilisha wanawake kwenye uzi muhimu kama huu1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote.
2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge University kumuenzi na kuiita jina lake.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu. Tujipange kuanzia KIA-Mwanga hadi Milimani kwa Mzee.
NB: kwa wageni UKIMWI NI mwingi hapa wilayani chukueni tahadhari Dada zetu hawajui kukataa.
Dunia haiwezi kusimamishwa na marehemu acha ujinga wewe.1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote.
2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge University kumuenzi na kuiita jina lake.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu. Tujipange kuanzia KIA-Mwanga hadi Milimani kwa Mzee.
NB: kwa wageni UKIMWI NI mwingi hapa wilayani chukueni tahadhari Dada zetu hawajui kukataa.
Wilaya Masikini iliyojaa Umasîini na Ushirikina1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote.
2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge University kumuenzi na kuiita jina lake.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu. Tujipange kuanzia KIA-Mwanga hadi Milimani kwa Mzee.
NB: kwa wageni UKIMWI NI mwingi hapa wilayani chukueni tahadhari Dada zetu hawajui kukataa.
Mchaga hana uchawi wa asili ndo maana lazima awakimbie hao watuNa Wapare wanapenda uwachukulie kwa dharau ili uzubae wakunyoroshe. Wapare na Wasomali ndio wasiowahofia Wachagga tangu zamani. Siku hizi wameongezeka Wakinga hawaogopi Mchagga.🤣
PumbaNdo maana wachaga wanalalamikaga wilaya za wa wapare zitolewe kwenye mkoa wa kilimanjaro, aidha zimegwe ziwe mkoa au waungane na Tanga kabisa maana huko ndo wanafanana nao,,,,Upareni ukiingia hali mbaya sio kama maeneo mengine ya mkoa wa kilimanjaro jamaa wapo kama mikoa ya pwani huku kama ndugu zao wa karibu Tanga,,,,hawa jamaa wameathirika sana na watu wa ukanda wa pwani kuliko wenzao wa kaskazini
ACHA uongo wangejiandika humu mtandaoni. Mti unaopigwa mawe ndo wenye matunda mazuri.1. Tizama nyumba za ajabu-ajabu ukipita Mwanga na Same huo sio uvivu?
2. Hawapend kujitambulisha kuwa wao ni Wapare (inferiority).
KasongoPumba
ile White supreme ya kujiona kwa wachaga kwamba wao ni matawi ya juu zidi ya mpare ni sababu mpare sio mtu wa sifa ,ni kama vile unavyoona mkenya anavyopenda kujiona kwamba yupo juu zaidi ya Tanzania ndio element hizi hizi za kichaga by the way wachaga wapo vizuri kimaendeleo lakini mpare na makabila mengine wanakimbiza kimya kimya bila kuweka matangazo.Wapare wanapenda kujiweka karibu na wachaga huku wachaga ni tofauti,,,ni wachaga wachache wanaotakaga ukaribu na mpare labda kama ana jambo lenye manufaa kwake ila kama hana jamaa wanawachukulia wapare kama watu fulani wa class ya chini
Mmh kwa hali ya kule usangi.......ile White supreme ya kujiona kwa wachaga kwamba wao ni matawi ya juu zidi ya mpare ni sababu mpare sio mtu wa sifa ,ni kama vile unavyoona mkenya anavyopenda kujiona kwamba yupo juu zaidi ya Tanzania ndio element hizi hizi za kichaga by the way wachaga wapo vizuri kimaendeleo lakini mpare na makabila mengine wanakimbiza kimya kimya bila kuweka matangazo.
Imeionaje?Mmh kwa hali ya kule usangi.......