Kwahiyo umefika Sebuleni kwa ndugu yako waona umemaliza kujua Usangi na Ugwwno?Kwa ujumla hujui kitu.Bwana we nimefika upareni ovyo sana sio kama ukienda uchagani.....mimi naongelea kwa mkoa wa kilimanjaro, nina ndugu huko upareni usangi na ugweno
Kwahiyo umefika Sebuleni kwa ndugu yako waona umemaliza kujua Usangi na Ugwwno?Kwa ujumla hujui kitu.Bwana we nimefika upareni ovyo sana sio kama ukienda uchagani.....mimi naongelea kwa mkoa wa kilimanjaro, nina ndugu huko upareni usangi na ugweno
Kwani Kuna mpare katia mi....MBA akakuacha nini?Mbona unawachukia sana.Yan mpare ajifiche Identity yake?Nenda milimani huko majumba yamejificha migombani.1. Tizama nyumba za ajabu-ajabu ukipita Mwanga na Same huo sio uvivu?
2. Hawapend kujitambulisha kuwa wao ni Wapare (inferiority).
ApiaKwahiyo umefika Sebuleni kwa ndugu yako waona umemaliza kujua Usangi na Ugwwno?Kwa ujumla hujui kitu.
Hawajui kukataa hata kama ni wake wa viongozi??1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote.
2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge University kumuenzi na kuiita jina lake.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu. Tujipange kuanzia KIA-Mwanga hadi Milimani kwa Mzee.
NB: kwa wageni UKIMWI NI mwingi hapa wilayani chukueni tahadhari Dada zetu hawajui kukataa.
Wew ni muongo au labda hujatembea sana ktk Tanzania hii...wachaga na wapare kadiri wanapokuwa mbali zaidi na mkoa wao wa asili ndivyo pia wanakuwa na ukaribu zaidi baina yao!Wapare wanapenda kujiweka karibu na wachaga huku wachaga ni tofauti,,,ni wachaga wachache wanaotakaga ukaribu na mpare labda kama ana jambo lenye manufaa kwake ila kama hana jamaa wanawachukulia wapare kama watu fulani wa class ya chini
Bahati nzuri niko huku....ujumbe wangu ...ATAKUJA FARAO ASIYEMJUA YUSUFU...Hii mada imeletwa kinafiki kumchafua Mzee Msuya
1. Mzee Msuya hakuwa serikalini kwa miaka zaidi ya 25. Baada ya Uchaguzi wa 1995 akaacha uongozi.
2. Lami unayosema imejengwa miaka 6 iliyopita, Msuya anahusikaje
3. Hakuna WiFi unayosema, mkongo wa Taifa ukianza kujengwa Dar es Salaam Mzee hakuwa na cheo
4. Hospitali na shule zimejengwa na kwa njia ya Msaragambo, Mzee Msuya alihamasisha kama Mbunge
5. Shule za ''Kata'' zilianza miaka kabla ya hizi kwa kutumia mashirika ya dini na Wazazi.
6. Mwanga- Hakika Bank ni imitative za Mzee Msuya, kuna Ubaya gani katika hilo? Nani amezuiwa kuanzisha Bank kwao
Ukitaka kujua maendeleo yao yanapatikanaje, Mwezi wa April Waziri Mkuu Mjaliwa aliitwa kufungua kituo cha Afya Kwakoa. Kwa maneno yake akasema '' mumenidanganya hiki si kituo cha Afya ni Hospitali'' Akamuagiza Naibu Waziri wa Afya waanze mchakato wa kuifanya Hospitali. Ipo you Tube
Hospitali hiyo imejengwa kwa jitihada za Dr Ngoma aliyekuwa Mkuu wa Ocean Road miaka mingi.
Dr Ngoma alitumia urafiki na mashirika na misaada ya marafiki zake kuwekeza nyumbani kwao
Sisi wengine hasa wa Tanga na Mtwara, tukija Dar haturudi nyumbani tunawakejeli Wachaga na Wapare Christmas. Sasa kama huendi kwenu unategemea kujua nini kuhusu maisha ya huko!
Lakini pia waulizeni Wabunge wenu! wale wanaosema anaupiga sana wamefanya nini?
Wakija majimboni kwa bahati mbaya wanasema '' hiki kimejengwa na Mama'' wao wamefanya nini
Mnachosikia sicho, Mwanga maisha ni sawa na sehemu nyingine! Tofauti yao ni kujituma kwa kujitolea
JokaKuu
Ndicho kitu ambacho baadhi hawajui ni sawa mkenya na mtanzania wakutane Marekani au ulaya si wanakuwa ni kama ndugu ndivyo ilivyo kwa hawa watu. Alafu ujue kuna mikoa ambayo imebeba kabila moja maarufu , mfano Mbeya ni mnyatu, Morogoro mluguru , Mwanza msukuma Kilimanjaro mchaga sasa mtu akiwa mkoa anatafsiriwa kuwa kabila kuu la mkoa husika hata kama sio moja wa kabila lile.Wew ni muongo au labda hujatembea sana ktk Tanzania hii...wachaga na wapare kadiri wanapokuwa mbali zaidi na mkoa wao wa asili ndivyo pia wanakuwa na ukaribu zaidi baina yao!
Mfano ukienda mikoa ya kusini kama lindi na mtwara...hadi wananchi wa mikoa hiyo wengi hudhani wachaga na wapare ni kitu kimoja kwasabb tu ya namna wanavyoshirikiana.
Itakuwa alisimamisha.Mume wako alipofariki dunia ilisimama?
Sababu mchaga anamtegemea mpare kwa uchawi akiwa mbali lazima washirikianeWew ni muongo au labda hujatembea sana ktk Tanzania hii...wachaga na wapare kadiri wanapokuwa mbali zaidi na mkoa wao wa asili ndivyo pia wanakuwa na ukaribu zaidi baina yao!
Mfano ukienda mikoa ya kusini kama lindi na mtwara...hadi wananchi wa mikoa hiyo wengi hudhani wachaga na wapare ni kitu kimoja kwasabb tu ya namna wanavyoshirikiana.
Kaka hivi unaota ama?Wamezubaa?Kwenye nyumba 10 kati yake 8 zina maji.Umeme ndo kabisaa.Unajua kitu kinaitwa Msaragambo?Kule tokea enzi hizo hawangoji wanasiasa au serikali iwafanyie maendeleo ....wao wanafanya serikali itawakuta mbelembele.Kwa uongo ulio uongea hapa...yani wewe ndio mpwani mwenyewe.
Lindi ndo mpangoUnanikumbusha mbali aisee.
Yaaani Kijiji chetu kiko ndani ndani ila shule nlosoma ilianzishwa mwaka 1948(kabla uhuru) fikiria tuu hapo unaweza kuwa sawa na sehemu elimu wameanza kuipata kwenye Shule za kata(2007+)?
Msaragambo Ilikuwa kila jumamosi sio ombi ni lazima .. Na kazi yake ni maswala ya jamii kama ujenzi wa nyumba za watumishi watakao letwa na serikali kama vile Walimu, wanamifungo na bwana shamba, madaktari N.k. Wakati mikoa mingine walimu ukipangiwa utafanyiwa vimbwanga hadi aondoke(ushirikina, kutengwa )
Wakati Wakija Upareni au kilimanjaro wanakuta kila kitu kipo yaan hadi kitanda godoro na jiko
Msaragambo ulikuwa unachimba mifereji kwaajili ya mabomba ya maji , mifereji kwaajili ya umwagiliaji.
Msaragambo unatengeneza madaraja na makalavati kwenye mifereji.
Msaragambo una jenga shule vyoo vya shule, n.k.
Ukiacha kila nyumba kuwa na mabomba ya maji ila kuna Bomba za kijiji Karibia kila mtaa.. Na kumbuka maji hapo ni bure na safi salama.
Yaani serikali ilikuwa kujazia kile kinachofanywa na wananchi.
Kwenye kuzunguka kwangu nimeona utofauti sana wa watu mkoa na kilimanjaro katika umoja na kujituma na mikoa mingine.
Kwenu ambako hakuna je nyie hamlipi Kodi?Hela zilikuwa zake au kodi zetu ?.
Kwenye makazi mpare hawezi mfikia mchaga, although Wana majumba ya kisasaBahati nzuri nimefanikiwa kupita vijiji vya asili vya wachaga na wapare miaka hii ya karibuni, na kwa uchache ninaweza kusema wazi, japokuwa mpare ni mtu nisiyemkubali kabisa kwa sababu zangu binafsi lakini kwa sasa hatua ya kimaendeleo kijamii huko kwao ni kubwa maradufu ikiwa utamlinganisha na mchaga.
Nimefika maeneo ya wapare niliyoyaona ni haya.
1. Ni kweli barabara kuu ya lami umefika mpaka huko mwisho wa milima ya wapare (usangi) na karibia eneo lote kuelekea upande wa ugweno. Kwenye barabara ni hakika, kwa namna ya jiographia ya eneo husika ilivyo, nisingetegemea kukuta ubora ule.
2. Huduma za umeme, na upatikani wa maji ya uhakika ya bomba nyumba kwa nyumba huenda ni zaidi ya Dar. Wako vizuri.
3. Ubora wa nyumba ni mkubwa mnoo. Kwa mtazamo wangu ni nzuri na bora zaidi kuliko uchagani.
4. Tamaduni za kijadi za kutambika, ushirikina au ulevi hazipo kabisa upareni, haziruhusiwi na jamii yenye hizo tabia hutengwa kijamii. Naona dini (uislamu, ulutheri na usabato) zimeshika kasi zaidi. Vitu ambavyo kwa macho yangu nimevikuta uchagani na wachaga wanajivunia navyo.
Unalia liaMagufuli aliposhika hiyo biashara ikafa
Makabila mengine sasa yameshika hatamu za nchi na taasisi sehemu kubwa
Wapare haki zenu kumzika king wenu aliyewapendelea sana kikabila akiwa madarakani kuhakikisha mnapata upendeleo kipekeee
Yéyé huyo magufuli alipojenga uwanja WA kimataifa porini kusiko hâta na biashara ilkuwa sio upendeleo?Magufuli aliposhika hiyo biashara ikafa
Makabila mengine sasa yameshika hatamu za nchi na taasisi sehemu kubwa
Wapare haki zenu kumzika king wenu aliyewapendelea sana kikabila akiwa madarakani kuhakikisha mnapata upendeleo kipekeee
Hata mimi niliamini hivyo hapo kabla, nikapita kwa macho yangu vijiji vya wachaga na vijiji vya wapare, nilichokiona kikawa ni kitu cha tofauti kabisa. Wapare wamewekeza vyema zaidi kwenye makazi bora kuliko wachaga, hususani kwa sasa.Kwenye makazi mpare hawezi mfikia mchaga, although Wana majumba ya kisasa
HII ñdio inaufanya mkoa wa Kilimanjaro kuongoza kwa makazi ya kisasa vijijin kwa 90%