Kwa taarifa yako ndio kwanza pamekucha.Barabara kutoka Mwanga mpaka Kilomeni kupandishwa hadhi na kuwa ya TANROAD wala haikufanyika Msuya akiwa ana Nguvu tena za kisiasa.Zimefanyika kipindi Cha Magufuli.Kwahiyo kusema alikuwa anawapendelea huyo Msuya si kweli.Lile Jimbo litabaki kuwa Special mpaka siku ya parapanda.Magufuli aliposhika hiyo biashara ikafa
Makabila mengine sasa yameshika hatamu za nchi na taasisi sehemu kubwa
Wapare haki zenu kumzika king wenu aliyewapendelea sana kikabila akiwa madarakani kuhakikisha mnapata upendeleo kipekeee
Nimemshangaa nikahisi ana shida kichwaniKwa hiyo unashangilia msiba sio? Mnasimamishaje dunia yani mnaanzaje? Wadoea msosi wa msibani mna tabu sana.
Haki zao za msingi wanaona wamefanyiwa fadhilaHela zilikuwa zake au kodi zetu ?.
Bwana we nimefika upareni ovyo sana sio kama ukienda uchagani.....mimi naongelea kwa mkoa wa kilimanjaro, nina ndugu huko upareni usangi na ugwenoKaka hivi unaota ama?Wamezubaa?Kwenye nyumba 10 kati yake 8 zina maji.Umeme ndo kabisaa.Unajua kitu kinaitwa Msaragambo?Kule tokea enzi hizo hawangoji wanasiasa au serikali iwafanyie maendeleo ....wao wanafanya serikali itawakuta mbelembele.Kwa uongo ulio uongea hapa...yani wewe ndio mpwani mwenyewe.
Umalaya na ubahiliNdo maana wachaga wanalalamikaga wilaya za wa wapare zitolewe kwenye mkoa wa kilimanjaro, aidha zimegwe ziwe mkoa au waungane na Tanga kabisa maana huko ndo wanafanana nao,,,,Upareni ukiingia hali mbaya sio kama maeneo mengine ya mkoa wa kilimanjaro jamaa wapo kama mikoa ya pwani huku kama ndugu zao wa karibu Tanga,,,,hawa jamaa wameathirika sana na watu wa ukanda wa pwani kuliko wenzao wa kaskazini
Ndo maana wachaga wanalalamikaga wilaya za wa wapare zitolewe kwenye mkoa wa kilimanjaro, aidha zimegwe ziwe mkoa au waungane na Tanga kabisa maana huko ndo wanafanana nao,,,,Upareni ukiingia hali mbaya sio kama maeneo mengine ya mkoa wa kilimanjaro jamaa wapo kama mikoa ya pwani huku kama ndugu zao wa karibu Tanga,,,,hawa jamaa wameathirika sana na watu wa ukanda wa pwani kuliko wenzao wa kaskazini
Hii mada imeletwa kinafiki kumchafua Mzee MsuyaHuyu Mzee ndo ameifanya wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini.
**Wana Mwanga twendeni tukamzike Mzee wetu. Tujipange kuanzia KIA
Umalaya na ubahili
UMALAYA ndio zaidiWapare wako katika kila sekta umalaya, ulokole, ujahidina, ugaidi, utapeli, usomi, everything!!🤣🤣
Bwana we nimefika upareni ovyo sana sio kama ukienda uchagani.....mimi naongelea kwa mkoa wa kilimanjaro, nina ndugu huko upareni usangi na ugweno
UMALAYA ndio zaidi
Nani angemchagua kwa upendeleo uliopitiliza jimboni kwake akiwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?hii habari ya kupendelea Mwanga ilikuwa kumchafua Mzee Msuya, wakidhani anaweza kuwa Raisi. Yule Mzee hakuwa mwanasiasa hawezi konakona za wanasiasa hivyo asingeweza kugombea Uraisi.
Hakupendelea ndio maana leo kuna watu wanashangaa kulivyo nyuma kimaendeleo ukilinganisha na wilaya nyingine za mkoa wa Kilimanjaro.Nani angemchagua kwa upendeleo uliopitiliza jimboni kwake akiwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?
Tatizo la Mwanga ni uvivu wa watu wake. Pamoja na upendeleo hawakubebeka kama WakwereHakupendelea ndio maana leo kuna watu wanashangaa kulivyo nyuma ukilinganisha na wilaya nyingine za mkoa wa Kilimanjaro.
Hii mada imeletwa kinafiki kumchafua Mzee Msuya
1. Mzee Msuya hakuwa serikalini kwa miaka zaidi ya 25. Baada ya Uchaguzi wa 1995 akaacha uongozi.
2. Lami unayosema imejengwa miaka 6 iliyopita, Msuya anahusikaje
3. Hakuna WiFi unayosema, mkongo wa Taifa ukianza kujengwa Dar es Salaam Mzee hakuwa na cheo
4. Hospitali na shule zimejengwa na kwa njia ya Msaragambo, Mzee Msuya alihamasisha kama Mbunge
5. Shule za ''Kata'' zilianza miaka kabla ya hizi kwa kutumia mashirika ya dini na Wazazi.
6. Mwanga- Hakika Bank ni imitative za Mzee Msuya, kuna Ubaya gani katika hilo? Nani amezuiwa kuanzisha Bank kwao
Ukitaka kujua maendeleo yao yanapatikanaje, Mwezi wa April Waziri Mkuu Mjaliwa aliitwa kufungua kituo cha Afya Kwakoa. Kwa maneno yake akasema '' mumenidanganya hiki si kituo cha Afya ni Hospitali'' Akamuagiza Naibu Waziri wa Afya waanze mchakato wa kuifanya Hospitali. Ipo you Tube
Hospitali hiyo imejengwa kwa jitihada za Dr Ngoma aliyekuwa Mkuu wa Ocean Road miaka mingi.
Dr Ngoma alitumia urafiki na mashirika na misaada ya marafiki zake kuwekeza nyumbani kwao
Sisi wengine hasa wa Tanga na Mtwara, tukija Dar haturudi nyumbani tunawakejeli Wachaga na Wapare Christmas. Sasa kama huendi kwenu unategemea kujua nini kuhusu maisha ya huko!
Lakini pia waulizeni Wabunge wenu! wale wanaosema anaupiga sana wamefanya nini?
Wakija majimboni kwa bahati mbaya wanasema '' hiki kimejengwa na Mama'' wao wamefanya nini
Mnachosikia sicho, Mwanga maisha ni sawa na sehemu nyingine! Tofauti yao ni kujituma kwa kujitolea
JokaKuu
Wapare sio wavivu ndio maana wanazungumziwa utadhani ni kabila kubwa hapa Tanzania.Tatizo la Mwanga ni uvivu wa watu wake. Pamoja na upendeleo hawakubebeka kama Wakwere
1. Tizama nyumba za ajabu-ajabu ukipita Mwanga na Same huo sio uvivu?Wapare sio wavivu ndio maana wanazungumziwa utadhani ni kabila kubwa hapa Tanzania.
1. Tizama nyumba za ajabu-ajabu ukipita Mwanga na Same huo sio uvivu?
2. Hawapend kujitambulisha kuwa wao ni Wapare (inferiority).