Wilaya ya Mwanga kesho tunaenda kusimamisha dunia kumwaga Mzee wetu Msuya

Kila mtu atabeba msalaba wake, aliwahi sema mwendazake na watu wengi wakatoa mapovu, akaja mzee Mzee wa Mtera nae akasema waende kuzimu wakati wa shida ya usafiri wa treni...
 
Kila mtu atabeba msalaba wake, aliwahi sema mwendazake na watu wengi wakatoa mapovu, akaja mzee Mzee wa Mtera nae akasema waende kuzimu wakati wa shida ya usafiri wa treni...
Mzee Msuya aliteleza kutoa kauli hiyo. Na kuteleza huko ni kudhihirisha kuwa hakuwa malaika, bali ni binadamu kama wengine. Katika mambo ambayo tunapaswa kumsamehe ni hilo tukio la kuteleza katika kauli yake. Sasa ukiacha hayo C.D Msuya atabaki kuwa ndiye " baba " wa mageuzi ya uchumi hapa Tanzania. Ndiye aliyekuwa msaidizi mkuu wa Raisi Ally Hassan Mwinyi katika kuikwamua nchi masuala ya fedha, uchumi, na mipango, wakati nchi ilipokuwa katika hali mbaya ya uchumi kuliko kipindi chochote kile cha uhuru wetu.
 
Wapare ndio jamii isiyowahofia Wachagga. Makabila mengi hapa Tanzania ama yanawaogopa, au kuwaonea gele Wachagga. Lakini Mpare akiona mahali pana Mchagga ndio anahamasika kwenda kutafuta maisha na kupambana naye.
Wapare wanapenda kujiweka karibu na wachaga huku wachaga ni tofauti,,,ni wachaga wachache wanaotakaga ukaribu na mpare labda kama ana jambo lenye manufaa kwake ila kama hana jamaa wanawachukulia wapare kama watu fulani wa class ya chini
 
Na Wapare wanapenda uwachukulie kwa dharau ili uzubae wakunyoroshe. Wapare na Wasomali ndio wasiowahofia Wachagga tangu zamani. Siku hizi wameongezeka Wakinga hawaogopi Mchagga.🤣
 
Acha kudhalilisha wanawake kwenye uzi muhimu kama huu
 
Dunia haiwezi kusimamishwa na marehemu acha ujinga wewe.
 
Wilaya Masikini iliyojaa Umasîini na Ushirikina

Njoon
Machame
 
Na Wapare wanapenda uwachukulie kwa dharau ili uzubae wakunyoroshe. Wapare na Wasomali ndio wasiowahofia Wachagga tangu zamani. Siku hizi wameongezeka Wakinga hawaogopi Mchagga.🤣
Mchaga hana uchawi wa asili ndo maana lazima awakimbie hao watu
 
Pumba
 
1. Tizama nyumba za ajabu-ajabu ukipita Mwanga na Same huo sio uvivu?

2. Hawapend kujitambulisha kuwa wao ni Wapare (inferiority).
ACHA uongo wangejiandika humu mtandaoni. Mti unaopigwa mawe ndo wenye matunda mazuri.
 
Wapare wanapenda kujiweka karibu na wachaga huku wachaga ni tofauti,,,ni wachaga wachache wanaotakaga ukaribu na mpare labda kama ana jambo lenye manufaa kwake ila kama hana jamaa wanawachukulia wapare kama watu fulani wa class ya chini
ile White supreme ya kujiona kwa wachaga kwamba wao ni matawi ya juu zidi ya mpare ni sababu mpare sio mtu wa sifa ,ni kama vile unavyoona mkenya anavyopenda kujiona kwamba yupo juu zaidi ya Tanzania ndio element hizi hizi za kichaga by the way wachaga wapo vizuri kimaendeleo lakini mpare na makabila mengine wanakimbiza kimya kimya bila kuweka matangazo.
 
Mmh kwa hali ya kule usangi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…