Wilaya ya Mwanga kesho tunaenda kusimamisha dunia kumwaga Mzee wetu Msuya

1. Tizama nyumba za ajabu-ajabu ukipita Mwanga na Same huo sio uvivu?

2. Hawapend kujitambulisha kuwa wao ni Wapare (inferiority).
Kwani Kuna mpare katia mi....MBA akakuacha nini?Mbona unawachukia sana.Yan mpare ajifiche Identity yake?Nenda milimani huko majumba yamejificha migombani.
 
Hawajui kukataa hata kama ni wake wa viongozi??
 
Wapare wanapenda kujiweka karibu na wachaga huku wachaga ni tofauti,,,ni wachaga wachache wanaotakaga ukaribu na mpare labda kama ana jambo lenye manufaa kwake ila kama hana jamaa wanawachukulia wapare kama watu fulani wa class ya chini
Wew ni muongo au labda hujatembea sana ktk Tanzania hii...wachaga na wapare kadiri wanapokuwa mbali zaidi na mkoa wao wa asili ndivyo pia wanakuwa na ukaribu zaidi baina yao!
Mfano ukienda mikoa ya kusini kama lindi na mtwara...hadi wananchi wa mikoa hiyo wengi hudhani wachaga na wapare ni kitu kimoja kwasabb tu ya namna wanavyoshirikiana.
 
Bahati nzuri niko huku....ujumbe wangu ...ATAKUJA FARAO ASIYEMJUA YUSUFU...
 
Ndicho kitu ambacho baadhi hawajui ni sawa mkenya na mtanzania wakutane Marekani au ulaya si wanakuwa ni kama ndugu ndivyo ilivyo kwa hawa watu. Alafu ujue kuna mikoa ambayo imebeba kabila moja maarufu , mfano Mbeya ni mnyatu, Morogoro mluguru , Mwanza msukuma Kilimanjaro mchaga sasa mtu akiwa mkoa anatafsiriwa kuwa kabila kuu la mkoa husika hata kama sio moja wa kabila lile.
 
Sababu mchaga anamtegemea mpare kwa uchawi akiwa mbali lazima washirikiane
 

Unanikumbusha mbali aisee.

Yaaani Kijiji chetu kiko ndani ndani ila shule nlosoma ilianzishwa mwaka 1948(kabla uhuru) fikiria tuu hapo unaweza kuwa sawa na sehemu elimu wameanza kuipata kwenye Shule za kata(2007+)?

Msaragambo Ilikuwa kila jumamosi sio ombi ni lazima .. Na kazi yake ni maswala ya jamii kama ujenzi wa nyumba za watumishi watakao letwa na serikali kama vile Walimu, wanamifungo na bwana shamba, madaktari N.k. Wakati mikoa mingine walimu ukipangiwa utafanyiwa vimbwanga hadi aondoke(ushirikina, kutengwa )
Wakati Wakija Upareni au kilimanjaro wanakuta kila kitu kipo yaan hadi kitanda godoro na jiko

Msaragambo ulikuwa unachimba mifereji kwaajili ya mabomba ya maji , mifereji kwaajili ya umwagiliaji.
Msaragambo unatengeneza madaraja na makalavati kwenye mifereji.
Msaragambo una jenga shule vyoo vya shule, n.k.

Ukiacha kila nyumba kuwa na mabomba ya maji ila kuna Bomba za kijiji Karibia kila mtaa.. Na kumbuka maji hapo ni bure na safi salama.

Yaani serikali ilikuwa kujazia kile kinachofanywa na wananchi.

Kwenye kuzunguka kwangu nimeona utofauti sana wa watu mkoa na kilimanjaro katika umoja na kujituma na mikoa mingine.
 
Lindi ndo mpango
 
Bahati nzuri nimefanikiwa kupita vijiji vya asili vya wachaga na wapare miaka hii ya karibuni, na kwa uchache ninaweza kusema wazi, japokuwa mpare ni mtu nisiyemkubali kabisa kwa sababu zangu binafsi lakini kwa sasa hatua ya kimaendeleo kijamii huko kwao ni kubwa maradufu ikiwa utamlinganisha na mchaga.

Nimefika maeneo ya wapare niliyoyaona ni haya.
1. Ni kweli barabara kuu ya lami umefika mpaka huko mwisho wa milima ya wapare (usangi) na karibia eneo lote kuelekea upande wa ugweno. Kwenye barabara ni hakika, kwa namna ya jiographia ya eneo husika ilivyo, nisingetegemea kukuta ubora ule.

2. Huduma za umeme, na upatikani wa maji ya uhakika ya bomba nyumba kwa nyumba huenda ni zaidi ya Dar. Wako vizuri.

3. Ubora wa nyumba ni mkubwa mnoo. Kwa mtazamo wangu ni nzuri na bora zaidi kuliko uchagani.

4. Tamaduni za kijadi za kutambika, ushirikina au ulevi hazipo kabisa upareni, haziruhusiwi na jamii yenye hizo tabia hutengwa kijamii. Naona dini (uislamu, ulutheri na usabato) zimeshika kasi zaidi. Vitu ambavyo kwa macho yangu nimevikuta uchagani na wachaga wanajivunia navyo.
 
Kwenye makazi mpare hawezi mfikia mchaga, although Wana majumba ya kisasa
HII ñdio inaufanya mkoa wa Kilimanjaro kuongoza kwa makazi ya kisasa vijijin kwa 90%
 
Magufuli aliposhika hiyo biashara ikafa
Makabila mengine sasa yameshika hatamu za nchi na taasisi sehemu kubwa

Wapare haki zenu kumzika king wenu aliyewapendelea sana kikabila akiwa madarakani kuhakikisha mnapata upendeleo kipekeee
Unalia lia
Aliyetangulia katangulia tu
Ni ngumu mwanafunzi WA std one amfikie std seven
 
Magufuli aliposhika hiyo biashara ikafa
Makabila mengine sasa yameshika hatamu za nchi na taasisi sehemu kubwa

Wapare haki zenu kumzika king wenu aliyewapendelea sana kikabila akiwa madarakani kuhakikisha mnapata upendeleo kipekeee
Yéyé huyo magufuli alipojenga uwanja WA kimataifa porini kusiko hâta na biashara ilkuwa sio upendeleo?
 
Kwenye makazi mpare hawezi mfikia mchaga, although Wana majumba ya kisasa
HII ñdio inaufanya mkoa wa Kilimanjaro kuongoza kwa makazi ya kisasa vijijin kwa 90%
Hata mimi niliamini hivyo hapo kabla, nikapita kwa macho yangu vijiji vya wachaga na vijiji vya wapare, nilichokiona kikawa ni kitu cha tofauti kabisa. Wapare wamewekeza vyema zaidi kwenye makazi bora kuliko wachaga, hususani kwa sasa.
Nenda mwenyewe utaona hilo.

Ukitazama kwa jicho la mbali sana unaweza kubashiri nini kinakwenda kutokea Uchagani ndani ya miaka 20 ijayo, ni sawa na kile kimetokea Kagera kwa wahaya. Sifa za kujivunia kutangulia kupata maendeleo na maisha ya anasa mijini huku nyumbani wenyeji wakijivua ulevi mtupu vinawamaliza wachaga kwa kasi kubwa mnoo.
 
Sheria ya maadili ya Viongozi wa Umma inakataza
 
Nimeenda usangi mwaka juzi niseme tu sijawahi kwenda sehemu yenye maendeleo kama ile katika maisha yangu ndani ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…