Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato ila kizazi cha Rombo kinateketea.
Baada ya miaka kadhaa ijayo Rombo itakuwa na hali mbaya sana Serikali isopochukua hatua kuteketeza viwanda hivi. Ni kilio na majonzi ukiona vijana wa Rombo walivyochakazwa na Pombe.
Kazi ya serikali sikuzote ni Regulation au kuondoa kabisa pombe hizo sokoni.
Naomba Serikali kuu ielekeze macho Rombo, inaonekana serikali iliyopo huku chini kwa namna moja au nyingine wameshindwa kutatua hili.
Pia soma: Vijana wa Rombo - Kilimanjaro wanateketea kwa unywaji pombe hovyo