Wilaya ya Rombo inateketea kwa unywaji wa Pombe

Wilaya ya Rombo inateketea kwa unywaji wa Pombe

Kuna pombe Moja inaitwa Barabara ya vumbi ipo Rombo maeneo ya Ngareni aisee ni hatari inawekwa kwenye vikopo vya Mo energy kijana akinywa wivili anazima.

Bei yake ni Tsh 300/= mia tatu/ mia
Duh,
 
Rombo inaongoza kwa hati safi na Ukusanyaji mkubwa wa mapato, imeipita had Manispaa ya Moshii.

Rombo inelekea kuwa Manispaa, anatokea mtu anasema Pombe pombee, Umeona watu wanalala njaa Rombo. Ukiona sehemu kuna viwanja vingi vya pombe na burudani ujue ela ipo. Dar kuna Kumbi ngapi za Staree had nyingine zimefungiwa kwa kupigia watu keleel, we unaona Rombo
 
Yaani wanaume wa Rombo muda wote wamelewa, hata kazi hawawezi kufanya. Familia kwa kiasi kikubwa zinaendeshwa na akina mama. Ni kama kuna ka laana ka ulevi kwa wale ndugu zake min -me
Tukiwazidi warusi kwa Unywaji Pombe ndo tutaacha kunywa, Rombo Pombe inanyweka na jinsia zote, Hakuna cha wamama wala wababa.

Iyo ni nature. We kunywa Soda zako tulia hujalazimishwa kunywa Pombe
 
Tukiwazidi warusi kwa Unywaji Pombe ndo tutaacha kunywa, Rombo Pombe inanyweka na jinsia zote, Hakuna cha wamama wala wababa.

Iyo ni nature. We kunywa Soda zako tulia hujalazimishwa kunywa Pombe
Kumbe ni sifa!!
 
Kuna pombe Moja inaitwa Barabara ya vumbi ipo Rombo maeneo ya Ngareni aisee ni hatari inawekwa kwenye vikopo vya Mo energy kijana akinywa wivili anazima.

Bei yake ni Tsh 300/= mia tatu/ mia isadu
Kiboboso je mnaijuaaa?
 
Kuna pombe Moja inaitwa Barabara ya vumbi ipo Rombo maeneo ya Ngareni aisee ni hatari inawekwa kwenye vikopo vya Mo energy kijana akinywa wivili anazima.

Bei yake ni Tsh 300/= mia tatu/ mia isadu

Pombe hiyo hiyo kuna maeneo wanaiita kiboboso, aisee ni hatari sana
 
Ndio Maana Sasa hivi Wakina Dada Wengi wa kirombo Wanachukuliwa na Makabira ya Bara na Pwani, Nilikuwa Sijuhi kumbe Pombe za kienyeji Zimewathili Vijana Wengi wa kiume Wa ROMBO Mbaka Nguvu za kiume Zimewashia, Poleni Sana Shemeji ZANGU
 
Back
Top Bottom