Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Idadi inapungua sana, na wanaotoka na kufanikiwa huko kwingineko, wanarudi mara moja tu mwisho wa mwaka kipindi cha sikukuu.Naona wamebeba utaalam toka kwa ndugu zao wakenya,,,,,na wasipojicheki wakina mangi miaka ijayo huo mlima kitatawala kizazi cha wakamba na wakikuyu tu