Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato ila kizazi cha Rombo kinateketea.
Baada ya miaka kadhaa ijayo Rombo itakuwa na hali mbaya sana Serikali isopochukua hatua kuteketeza viwanda hivi. Ni kilio na majonzi ukiona vijana wa Rombo walivyochakazwa na Pombe.
Kazi ya serikali sikuzote ni Regulation au kuondoa kabisa pombe hizo sokoni.
Naomba Serikali kuu ielekeze macho Rombo, inaonekana serikali iliyopo huku chini kwa namna moja au nyingine wameshindwa kutatua hili.
Nasikia ukitahamia huko kama hutumii pombe utafanya kazi ya kuwahudumia wanawake wa huko kwa kuwapa haki yao ya ndoa,maana waume zao wamelewa muda wote hata muda wa kupelekeana moto hawana
Arusha sahivi inakimbizana na mikoa ya pwani na visiwani kwa kesi za ulawiti............Chuga ilikuaga ya wagumu ila kwa sasa hata mombasa ina afadhali
Kuna pombe Moja inaitwa Barabara ya vumbi ipo Rombo maeneo ya Ngareni aisee ni hatari inawekwa kwenye vikopo vya Mo energy kijana akinywa wivili anazima.
Hii iliwahi tangazwa miaka minne nyuma kuwa wanawake wa rombo wanashea na wanaume wa Kenya eti Wayne zao(Warombo) Hawajiwezi
Ikapelekea mpk mkuu wilaya wkt huo kupiga marufuku upikaji na unywaji pombe ili kunusuru Wilaya
Arusha sahivi inakimbizana na mikoa ya pwani na visiwani kwa kesi za ulawiti............Chuga ilikuaga ya wagumu ila kwa sasa hata mombasa ina afadhali
Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...
Si Rombo tu, maeneo mengi katika vijiji vya kilimanjaro kwa nyakati hizi vijana wanachangamoto kutokana na hizi pombe za bei rahisi; vijana hawana nguvu ata za kuchimba kaburi, na idadi ya watu si kubwa.
Zamani walikuwa wanatumia pombe za asili hizi za kawaida kama 'mbege' ambayo ilikuwa haiwapi madhara, ila nyakati hizi, hizi pombe za asili zinawekewa michanganyiko ya kila namna na kuathiri vijana.
Bila ndugu, marafiki, jamaa, na wazazi kusimamia vijana wao; kuna uwezekano nguvu kazi kupungua.

Sijakataa kuamini, elewa....Hiyo ni Takwimu ya Mwaka gani? Kwasababu wale vijana watatu waliokamatwa kwa kesi ys Ulawiti ni watu wa Pwani waliohamia Arusha na hawana hata muda mrefu
Ni kweli serikali hii chini ya ccm ina nia mbaya sana na kaskazini. Highlife na gongo zinamaliza vijana. Sijui ni kwa nini hawachomi kiwanda cha highlife. Kuna kiwingu na kisungura pia.
Sijui ni kwa nini serikali ya vijiji huko haizuii unywaji wa pombe muda wa kazi.