Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Idadi inapungua sana, na wanaotoka na kufanikiwa huko kwingineko, wanarudi mara moja tu mwisho wa mwaka kipindi cha sikukuu.Naona wamebeba utaalam toka kwa ndugu zao wakenya,,,,,na wasipojicheki wakina mangi miaka ijayo huo mlima kitatawala kizazi cha wakamba na wakikuyu tu
Ila huko ndugu zetu si mnasemaga nyie mmejitambua tokea enzi za mkoloni na kuna elimu kubwa huko,,,,,mbona kajambo kadogo kama haka mangi mnataka na serikali iingilieNi kweli serikali hii chini ya ccm ina nia mbaya sana na kaskazini. Highlife na gongo zinamaliza vijana. Sijui ni kwa nini hawachomi kiwanda cha highlife. Kuna kiwingu na kisungura pia.
Sijui ni kwa nini serikali ya vijiji huko haizuii unywaji wa pombe muda wa kazi.
Huko mwendo ni mirungi na mapombe ya bei cheee.......ila hizi ni laana,,,kikubwa kusaka wanaoingiza hizo laana huko kaskazini na kuwashushia maombi/kisomoUkitaka kuamini vijana wanaharibika nenda huko Upareni na Ugweno...hata Kuoa na kumjaza Mwanamke mimba ni tatizo kwasasa
Kweli kabisa wajiona high class kabila, lakini juzi mm nimetoka huko Hali ni mbaya kabisa vijana wanalewa mpaka wanalala kwenye mitaroIla huko ndugu zetu si mnasemaga nyie mmejitambua tokea enzi za mkoloni na kuna elimu kubwa huko,,,,,mbona kajambo kadogo kama haka mangi mnataka na serikali iingilie
Kujitambua tangu zamani haimaanishi kwa 100 watu wote ni IntellectualsIla huko ndugu zetu si mnasemaga nyie mmejitambua tokea enzi za mkoloni na kuna elimu kubwa huko,,,,,mbona kajambo kadogo kama haka mangi mnataka na serikali iingilie
Sie wasukuma tunawaangalia na tunacheka hiiiiiii.......hizo laana mlizoziingiza kwenye hizo ardhi zenu zitawatafuna sana na vizazi vyenu msiposhtuka mapemaKujitambua tangu zamani haimaanishi kwa 100 watu wote ni Intellectuals
Hata Greece/ Uyunani iliyosheeni Manguli wa Elimu ya Dunia ilikuwa pia na Wajinga na Hata Rumi ilikuwa na Wapumbavu wengi tu
Hebu zitaje, ni laana zipi?Sie wasukuma tunawaangalia na tunacheka hiiiiiii.......hizo laana mlizoziingiza kwenye hizo ardhi zenu zitawatafuna sana na vizazi vyenu msiposhtuka mapema
HAo wazee watatoka waoi hila vijanaNa kazia, tuiunganishe na ARUSHA, Vijana wa Arusha Kwa miaka 20 ijayo, wazawa watakua hawapo labda Wazee.
Hizo NGO za wazungu zilizojazana huko ndo zinawapa vijana wenu akili za kuanza kupenda michezo ya matopeni,,,,,hao jamaa wanakuja na vidola vyao mnakenua tu mnajua wanawapenda ila wakiondoka wanaacha laana kama hizo.....yani siku hizi hadi masai huko zenji anauza utu wake kwa mzunguHebu zitaje, ni laana zipi?
Kihistoria Ushoga miaka zaidi ya 500 kabla yesu hajazaliwa, tangu enzi na enzi...hakuna jamii au nchi ambayo haina hayo mamboHizo NGO za wazungu zilizojazana huko ndo zinawapa vijana wenu akili za kuanza kupenda michezo ya matopeni,,,,,hao jamaa wanakuja na vidola vyao mnakenua tu mnajua wanawapenda ila wakiondoka wanaacha laana kama hizo.....yani siku hizi hadi masai huko zenji anauza utu wake kwa mzungu
Wameanza kunywa tangu enzi za Babu yako we umeona leo unashtuka?Baada ya miaka kadhaa ijayo Rombo itakuwa na hali mbaya sana Serikali isopochukua hatua kuteketeza viwanda hivi. Ni kilio na majonzi ukiona vijana wa Rombo walivyochakazwa na Pombe.
Ulianza Middle East kwa Waarabu Kabla Yesu hajazaliwa.Kihistoria Ushoga miaka zaidi ya 500 kabla yesu hajazaliwa, tangu enzi na enzi...hakuna jamii au nchi ambayo haina hayo mambo
Pwani yote hasa Zanzibar ndio Waasisi wa haya mambo...so hapo tusiwasingizie Wazungu
Mpaka sasa Waarabu ni vinara katika hiloUlianza Middle East kwa Waarabu Kabla Yesu hajazaliwa.
Ulienea mapema sehemu walizofika waarabu hapo mwanzo.
Kinara wa ushoga ni mgiriki....mzungu,,,,,,,,,haya mnasema hao waasisi ila mbona takwimu kwasasa mnawapita hadi hao waasisiKihistoria Ushoga miaka zaidi ya 500 kabla yesu hajazaliwa, tangu enzi na enzi...hakuna jamii au nchi ambayo haina hayo mambo
Pwani yote hasa Zanzibar ndio Waasisi wa haya mambo...so hapo tusiwasingizie Wazungu
Hapana hao Waarabu ni waasisi kwasababu wao wanaita sunna... halafu wanawaharibu mpaka wanawake na watoto wa kike tupu ya nyuma na kuwatunzia bikira ya mbele mpk wakati wa NdoaKinara wa ushoga ni mgiriki....mzungu,,,,,,,,,haya mnasema hao waasisi ila mbona takwimu kwasasa mnawapita hadi hao waasisi
Ushaskia ukivamia meli ya mwarabu unafii........mbona huo msemo upo kwenye meli za kigiriki tu, na pia mbona Nyerere aliwatimua mbio wagiriki miaka hio sababu ya ushenzi wao na kwanini hawakuwafukuza hao wa pwani????Hapana hao Waarabu ni waasisi kwasababu wao wanaita sunna... halafu wanawaharibu mpaka wanawake na watoto wa kike tupu ya nyuma na kuwatunzia bikira ya mbele mpk wakati wa Ndoa