Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Nenda kwenye nchi za kiarabu uone kama utakutana na sanamu za kiboya hivi mitaani,,,ila huko kwenye nchi zilizobeba elimu za wagiriki na warumi mambo ndo kama hayo,,,,,na ukitaka uelewe vizuri zaidi angalia kwenye paa la sistine chapel wamechora nini na angalia kule hagia sophia kwenye paa wamechora nini,,,hapo ndo utajua waasisi wa haya mambo ni wa upande upi,,tena wanakuja kuwajazia vi NGO huko muwaone kama wanawapenda sanaHapana hao Waarabu ni waasisi kwasababu wao wanaita sunna... halafu wanawaharibu mpaka wanawake na watoto wa kike tupu ya nyuma na kuwatunzia bikira ya mbele mpk wakati wa Ndoa
Wana import hadi mabao kutoka kenyaSi tunaaminishwa Kila siku humu kuwa huko ndio Kuna wasomi, waliostaarabika na wachapakazi kuliko wale kobazi?
Hiking nini Tena?
Duh,Hamtaki kuamini wagumu kwa sasa mmekua walaini??View attachment 3096591
Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti
Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...www.jamiiforums.com
Sekta ya mitaro kinara chugaDuh,
Zenji ina idadi ndogo ya watu ila inaibuka kidedea kwenye ufukuaji mitaro!!
Hatari sana
Broo,Sekta ya mitaro kinara chuga
Na wao watasema wanapokea wageni wengi sana huko.......ila hii mambo hiii, huko kaskazini kumekua sio maana top 4 mikoa mi 2 ya kaskazini imeingia,,,hao wa 2 wa pwani inaeleweka ila shida ni hii mikoa mi 2 ya kaskazini kuingia top 4 huko kuna shida tena sio kidogo, zamani sifa za mikoa ya kaskazini zilikua za kiume ila miaka hii dah mnakimbizana na wapwani kufukuana mitaroBroo,
Kwa idadi ya watu wa Zenji kuweza kushikilia namba 2 kitaifa kwa mambo hayo ya mitaro, maana yake wapo juu mno..
Mikoa yenye kesi nyingi za Ulawiti:
Arusha: 251
Zanzibar Urban West: 225
Kinondoni: 210
Kilimanjaro: 154
Shida wanawaletea uzao wa wanaume wengine........miaka michache ijayo huko watajaa wakikuyu na wakamba tuKwani familia zikiendeshwa na kina mama kuna tatizo gan😁
Halafu cha kushangaza vijijini vya rombo vinaweza kuwa vimezidi vijijini vingi sana kwa maendeleo Tanzania 🤔Shida wanawaletea uzao wa wanaume wengine........miaka michache ijayo huko watajaa wakikuyu na wakamba tu
Uzuri vijiji vingine hawajafikia kwenye ufundi wa kuimport mabao ya kigeniHalafu cha kushangaza vijijini vya rombo vinaweza kuwa vimezidi vijijini vingi sana kwa maendeleo Tanzania 🤔
Tatizo ni uraibu. Sio.jambo dogoIla huko ndugu zetu si mnasemaga nyie mmejitambua tokea enzi za mkoloni na kuna elimu kubwa huko,,,,,mbona kajambo kadogo kama haka mangi mnataka na serikali iingilie
Mkuu nimezunguka tanzania ,sana najua vizuri kuna kijiji kimoja kipo mpwapwa dodoma, wanaume wanauza wake zao kwa wageni ili wapate namna ya kuishiUzuri vijiji vingine hawajafikia kwenye ufundi wa kuimport mabao ya kigeni
Hakuna watu walevi kama wakenya sema haujui tuShida wanawaletea uzao wa wanaume wengine........miaka michache ijayo huko watajaa wakikuyu na wakamba tu
Bila kuwasahau wasambaa, maana nao wapo wengi kule. Ngoja wawasaidie tu maana wanaume pombe zishawamaliza.Shida wanawaletea uzao wa wanaume wengine........miaka michache ijayo huko watajaa wakikuyu na wakamba tu
Ooooh kumbe! Basi sawa.Kwani familia zikiendeshwa na kina mama kuna tatizo gan😁
Ongezea Manyara, wachaga wamewaharibu sana jirani zao wengi tuNa kazia, tuiunganishe na ARUSHA, Vijana wa Arusha Kwa miaka 20 ijayo, wazawa watakua hawapo labda Wazee.