BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe.
Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari)
Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na siku ya sabato ambapo sio lazima kwenda shule na siku ya jumapili ambayo sio lazima pia.
Utaratibu huu haujaanza leo.
Hoja yangu mimi hapa ni, tuwe na uvumilivu na dini za watu.
Katika nchi ambayo watu tunavumiliana nyinyi Rungwe siyo spesho. Miji mikubwa inafuata taratibu kwanini nyinyi tu?
Suala hili lipo hata kwenye mitaala ila nyinyi mnajiona mna akili kuliko Serikali kuu.