Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo ..mtaala unasema siku ya ijumaa vipind vitafundishwa adi sa sita na dakik ishirin 12:20 tu ...huo muda mpaka sa nane haktafundishwa kipindi chochote...kasome mtaala mpya wa Elimu msingi mgawanyo wa vipindMkuu hakuna sehemu kwenye mtaala inayotaka ijumaa wanafunz warud SAA Tano, vipindi Kwa mwanafunz vinatakiwa at least nane per day. Mikoa inayoruhusu wanafunz kurudi SAA sita ni Kwa Sababu ya nature ya eneo husika. Mf Kilimanjaro Kwa baadhi ya maeneo kama mwanga Hasa miliman watoto wanarud SAA sita Moja wa Moja Tena ni wa sekondar. Primary Kama kawa SAA kumi na nusu. Pia Kama jamii ya eneo husika asilimia kubwa ni waislam hoja Yko Huwa inaweza zingatiwa jpo si lazma.mwalimu piga kaziii
Mikoa yenye 99% waislamu,mbona inakuwa jumamosi na jumapili,hakuna masomo shuleni,hii inaonyesha waislamu,wanaheshimu dini nyingine,ila wasio waislamu,wanashindwa kuheshimu wa imani nyingine.Mimi binafsi,iko shule,nilikwenda watowa watoto siku ya ijumaa,ikiwa ni saa sita na nusu,na sio mwalimu,waende wakafanye ibada,hiyo siku siisahau,huyo mwalimu alizomewa na wanafunzi wa dini zote.Rungee 99 ya wanvanchi ni christian. Hiyo biashara yako peleka zanzibar huko.
Nikuulize swali jepesi tu mtaala ni nini?
Hakuna mtaala unaozungumzia masuala ya siku.hiyo siyo kazi mtaala.
Lazima shule ifuate utaratibu wa wizaa husika,ikiwa mda wa masomo mwisho ni saa sita wanafunzi wende nyumbani,waende kwenye ibada.Kuna miji waislamu ni 99%,na wanafunzi wenye imani za kuabudu jumamosi au jumapili,wanapewa nafasi ya kwenda kuabudu,hata shule nzima iwe na mwanafunzi mmoja,anapewe nafasi ya kwenda kufanya ibada.Wazazi wao wanaofanyakazi siku za Ijumaa wanapewa nusu siku? Muache mwanao asome wewe ulikwishamaliza, akimaliza shule na kuwa askari sijui nako utakwenda kumtetea avae hijabu?
Miji yenye waislamu 99%,wasiokuwa waislamu wanapata kwenda kufanya ibada jumamosi na jumapili.Hata ikiwa shule nzima yupo mwanafunzi mmoja wa dini tofauti,anapewa nafasi ya kwenda kufanya ibada.Hii inatakiwa wazazi mlioko katika miji hiyo,ni kwenda shule,kuwaombea ruhusa,watoto wenu kwa mwalimu mkuu wa shule husika.Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe.
Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari)
Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na siku ya sabato ambapo sio lazima kwenda shule na siku ya jumapili ambayo sio lazima pia.
Utaratibu huu haujaanza leo.
Hoja yangu mimi hapa ni, tuwe na uvumilivu na dini za watu.
Katika nchi ambayo watu tunavumiliana nyinyi Rungwe siyo spesho. Miji mikubwa inafuata taratibu kwanini nyinyi tu?
Suala hili lipo hata kwenye mitaala ila nyinyi mnajiona mna akili kuliko Serikali kuu.
Wewe hausomi ila ni mkereketwa wa kusali, mwache mtoto asome.Lazima shule ifuate utaratibu wa wizaa husika,ikiwa mda wa masomo mwisho ni saa sita wanafunzi wende nyumbani,waende kwenye ibada.Kuna miji waislamu ni 99%,na wanafunzi wenye imani za kuabudu jumamosi au jumapili,wanapewa nafasi ya kwenda kuabudu,hata shule nzima iwe na mwanafunzi mmoja,anapewe nafasi ya kwenda kufanya ibada.
Sikia hili la nusu siku lipo (japo sio official kama wanavyosema wengi) ila lipo.Wazazi wao wanaofanyakazi siku za Ijumaa wanapewa nusu siku? Muache mwanao asome wewe ulikwishamaliza, akimaliza shule na kuwa askari sijui nako utakwenda kumtetea avae hijabu?