Nadhani hata Mwanza inajitahidi kwenye huo upande
Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi
Nimesoma komenti zote nikiitafuta Njombe maana ndio inayongoza kwa kuwa na gesti nyingi zaidi.njombe